Logo
Chapisha ukurasa huu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan: Kampeni, “Khilafah Huwakinga Wanawake”

Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan iliandaa kampeni nzito kupitia mitandao ya kijamii kwa kichwa, “#KhilafahHuwakingaWanawake.” Ilikuwa ni kampeni ya kujibu upigiaji debe mzito wa utawala kwa “Maandamano ya Wanawake” yatakayo fanyika 8 Machi, yakiwa na mwito mchafu wa “Mwili Wangu, Chaguo Langu”. Kampeni ambayo ilipokelewa vyema na watu wanaoupenda Uislamu wa Pakistan, ambao wanatambua uchafu wa thaqafa ya Kimagharibi kuhusiana na misingi ya familia.

Tunamuomba Mwenyezi Mungu (swt) airejeshe Ngao yetu, Khilafah ya Uongofu kwa njia ya Utume… Allahuma Ameen.

Jumamosi, 12 Rajab 1441 H   -  7 Machi 2020M

“#KhilafahHuwakingaWanawake

#TurudisheniKhilafah

أقيموا_الخلافة#

  #YenidenHilafet 

 

Imebadilishwa mara ya mwisho mnamoAlhamisi, 12 Machi 2020 11:38
Template Design © Joomla Templates | GavickPro. All rights reserved.