Logo
Chapisha ukurasa huu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan: Kampeni "Khilafah Itaikomboa Kashmir"

Baada ya uunganishaji kwa nguvu wa India wa Kashmir mnamo Alhamisi, 19 Agosti 2019 M, Waislamu Kashmir wanakabiliwa na ukandamizwaji wa kikatili kutoka kwa dola ya kibaniani. Na mnasaba huu Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan inafanya kampeni pana kote nchi chini ya kauli mbiu "Khilafah Itaikomboa Kashmir", inayo jumuisha maandamano na visimamo vya kulaani ili kutaka kusimamishwa kwa Khilafah kwa Njia ya Utume hadi itimie kuhamasika kwa majeshi katika kuikomboka Kashmir na nchi nyenginezo za Waislamu zilizochukuliwa.

Ewe Mwenyezi Mungu turudishie kinga yetu, Khilafah Rashida kwa Njia ya Utume… Allahumma Amin.

Jumatano, 24 Dhu al-Qa'ada 1441 sawia na 15 Julai 2020 M

#KhilafahItaikomboaKashmir

Template Design © Joomla Templates | GavickPro. All rights reserved.