Jumanne, 07 Shawwal 1445 | 2024/04/16
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Wilayah ya Syria: Amali za Kupinga Uchaguzi Duni!

Hizb ut-Tahrir / Wilayah ya Syria iliandaa msururu wa visimamo na maandamano kupinga uchaguzi duni wa urais ambao ulipangwa kumhalalisha mchinjaji wa Ash-Sham.

Jumanne, 13 Shawwal 1442 H, sawia na 25 Mei 2021 H

Kisimamo katika Mji wa Ariha Viungani mwa Idlib kwa Anwani

"Uchaguzi wa Duni wa Urais wa Kumhalalisha Mchinjaji wa Ash-Sham!"

Na Kalima ya Ustadh Ibrahim Haj Ali (Abu Dujana) wakati wa Kisimamo Hicho

Jumanne, 13 Shawwal 1442 H, sawia na 25 Mei 2021 H

Kalima ya Ustadh Amir Idd (Abu Muhammad)

Wakati wa Kisimamo cha Mji wa Ariha Kupinga Uchanguzi Huo Duni

Maandamano katika Mji wa Al-Atareb Viungani mwa Aleppo kwa Anwani "Hakuna Thamani kwa Uchaguzi Ikiwa Nidhamu ya Utawala ya Kiimla Haitaangushwa"

Ijumaa, 16 Shawwal 1442 H sawia na 28 Mei 2021 M

Kalima ya Ustadh Nasser Sheikh Abdul Hayyi

Mwanachama wa Kamati Kuu ya Mawasiliano ya Hizb ut Tahrir Wilayah Syria

Wakati wa Maandamano ya Mji wa Al-Atareb Kupinga Uchaguzi Duni

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu