Haitoshi kuwa na Mkuu wa Jeshi ambaye ni Hafidh wa Quran Mkuu wa Jeshi lazima awe Munafidh (Mtekelezaji) wa Quran
- Imepeperushwa katika Habari na Maoni
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Kamanda wa Kamandi Kuu ya Marekani (CENTCOM), Jenerali Michael Erik Kurilla, alimuita Mkuu wa Majeshi ya Pakistan (COAS), Jenerali Syed Asim Munir, mnamo tarehe 15 Disemba 2022. Mkuu huyo wa CENTCOM alifahamishwa kuhusu "kukabiliana na ugaidi" pamoja na mpaka wa Pakistan na Afghanistan.