Jumamosi, 11 Shawwal 1445 | 2024/04/20
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Vijana wa Kashmir wanapotea katika Giza la Uraibu wa Madawa ya Kulevya bila Nuru ya Khilafah

Mnamo tarehe 5 Juni, BBC iliripoti juu ya "ongezeko la kutisha la matumizi mabaya ya dawa za kulevya huko Kashmir". Wajana wa kiume zaidi na zaidi wanaweza kupatikana nje ya kituo pekee cha kutibu uraibu katika eneo la Kashmir linalosimamiwa na India, wakiwa kwenye foleni na wazazi wao kupokea dawa kutoka kwa Taasisi ya Afya ya Akili na Sayansi ya Nyuroni (IMHANS) ili kusaidia kupunguza dalili zao za kujiondoa katika uraibu na kuzuia maambukizi ya magonjwa ya kuambukiza.

Soma zaidi...

Tarehe ya Makataa ya Kushindwa Kulipa Deni ya Marekani Yakaribia kwa Kasi

Mnamo tarehe 12 Mei, Waziri wa Hazina wa Marekani Janet Yellen aliandika: 'Endapo Bunge la Congress halitaongeza kiwango cha deni, tutakabiliwa na janga la kiuchumi na kifedha. Ni muhimu sana tuhakikishe kuwa hili linafanyika." Yellen ni mwanauchumi mwenye uzoefu ambaye hapo awali alikuwa mwenyekiti wa 15 wa Hizina ya Marekani. Alirudia onyo lake mnamo Mei 15:

Soma zaidi...

Je, Marekani Inazingatia Mtindo wa Uturuki kwa Pakistan?!

Balozi wa zamani wa Marekani katika Umoja wa Mataifa, Zalmay Khalilzad alinukuu tweet, "Pengine maafa yanaweza kuepukwa, lakini ikiwa tu mambo 2 yatatokea. Mkuu wa Jeshi Munir anahitaji kujiuzulu, na uchaguzi lazima kutangazwa kwa tarehe maalum. Bila ya la kwanza, la pili haliwezekani. Bila hatua hizi mzozo wa kiuchumi, kisiasa na usalama wa Pakistan utazidi kuwa mbaya.” (The Tweet)

Soma zaidi...

‘Matumizi ya Ubaguzi wa Rangi kama Chambo cha Kisiasa’ Ni Ala Nyengine Tena ya Kuchukiza ya Siasa Chafu za Kisekula

Katika wiki za hivi karibuni, vyombo vya habari vya Uingereza vimeangazia matumizi ya  ‘ubaguzi wa rangi kama chambo chakisiasa’ na mawaziri mbalimbali katika serikali ya Uingereza ili kupata uungwaji mkono kutoka kwa wapiga kura wa mrengo wa kulia na chuki dhidi ya wapiga kura wenye asili ya kigeni.

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu