Ijumaa, 19 Ramadan 1445 | 2024/03/29
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Minbar ya Ummah: Maandamano katika Mji wa Salkeen "Tunakuitikia Ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu"

Halaiki ya watu wa mji wa Salkeen viungani mwa Idlib waliandaa kisimamo cha kumnusuru Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw) chini ya anwani: "Tunakuitikia Ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu".

Jumanne, 10 Rabi' ul-Awwal 1442 H, sawia na 27 Oktoba 2020 M

Kumbuka: "Minbar ya Ummah" ni kituo maalumu kinachopeperusha rekodi zilizochaguliwa za Khilafah zilizoandaliwa na watoto wa Ummah wetu. Rekodi hizo hazikutolewa na Hizb ut Tahrir au vitengo vyake rasmi; bali ni rekodi kutoka kwa watotot wa Ummah wa Kiislamu; ambazo zinapeperushwa katika tovuti yetu ili kueneza kheri kwa ajili ya Uislamu na Waislamu.

Imebadilishwa mara ya mwisho mnamoJumanne, 10 Novemba 2020 10:44

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu