Logo
Chapisha ukurasa huu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Minbar ya Ummah: Kisimamo cha Al-Atareb "Daraa Inaomba Nusra kwa Ndugu Zake katika Ash-Sham"

Kisimamo cha mji wa Al-Atareb viungani mwa Aleppo kwa anwani "Daraa Inaomba Nusra kwa Ndugu Zake katika Ash-Sham"

(وإن استنصروكم في الدين فعليكم النصر)

"Lakini wakiomba msaada kwenu katika Dini, basi ni juu yenu kuwasaidia" (Al-Anfal: 72)

 Jumatano, 21 Jumada Al-Akhirah 1442 H sawia na 03 Februari 2021 M

Kumbuka: "Minbar ya Ummah" ni kituo maalumu kinachopeperusha rekodi zilizochaguliwa za Khilafah zilizoandaliwa na watoto wa Ummah wetu. Rekodi hizo hazikutolewa na Hizb ut Tahrir au vitengo vyake rasmi; bali ni rekodi kutoka kwa watoto wa Ummah wa Kiislamu; ambazo zinapeperushwa katika tovuti yetu ili kueneza kheri kwa ajili ya Uislamu na Waislamu.

Template Design © Joomla Templates | GavickPro. All rights reserved.