Ijumaa, 10 Shawwal 1445 | 2024/04/19
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Afisi ya Habari
Afisi Kuu ya Habari

H.  27 Rabi' I 1439 Na: 1439/006
M.  Ijumaa, 15 Disemba 2017

 Taarifa kwa Vyombo vya Habari

 ﴾هُمُ الْعَدُوُّ فَاحْذَرْهُمْ قَاتَلَهُمُ اللَّهُ أَنَّىٰ يُؤْفَكُونَ﴿

“Wao ni maadui, jihadhari nao. Allah awaangamizilie mbali! Vipi wanapotoka na haki?" [Al-Munafiqun: 4]

(Imetafsiriwa)

Mnamo Disemba 13/12/2017, viongozi wa nchi hamsini na tano za biladi za Kiislamu walikusanyika jijini Istanbul kujibu uamuzi wa Trump wa kutangaza Al-Quds (Jerusalem) kuwa mji mkuu wa umbile la Kiyahudi, na kama kawaida yao hawaku wavunja moyo Waislamu, wazungumzaji walipitiliza katika kushutumu na kukemea, kwa sababu wao ni vibaraka tu wa wakoloni makafiri wa kimagharibi na vifaa vya vita vyao dhidi ya Uislamu, na juhudi zao za kuwazuia Waislamu kurudi katika maisha kamili ya Kiislamu, na kuhakikisha usalama wa maslahi yao, na kuwaruhusu kufuja rasilimali zetu na kukoloni ardhi yetu.   

Na kwa kurudilia taarifa zao, twapata kuwa zote ziliishia tu katika ombi la kutaka kufanywa Jerusalem Mashariki kuwa mji mkuu wa dola "ya kimadai" ya Palestina, kwa mujibu wa maazimio ya ile inayo itwa kanuni ya kimataifa!

Maregeleo yao ni kanuni ya kimataifa, iliyo tungwa na dola za kikoloni za kikafiri, kwa lengo pekee la kuhifadhi maslahi yao ya kikoloni ili kuuangamiza Umma wa Kiislamu baada ya kwisha kuiangamiza Khilafah; wamezigawanya biladi za Waislamu kuwa nchi hamsini na tano zilizo sambaratika zinazo tukuza kanuni ya kikafiri na kupiga vita sheria ya Allah na Mtume wake!

Kwa kitendo hiki, wamedhihirisha utiifu wao kwa mabwana zao, waajiri wao wazuri, nchi za kikoloni. Ingawa ikiwa wamejitolea kweli nafsi zao kwa mwito wa shirika lao wa "Ushirikiano wa Kiislamu" wangetambua kwamba Uislamu unahitaji umoja wa Waislamu chini ya dola moja ikiongozwa na kiongozi mmoja, na sio wengi. Imam Muslim amesimulia hadith kutoka kwa Mtume (saw):

«إِذَا بُويِعَ لِخَلِيفَتَيْنِ، فَاقْتُلُوا الْآخَرَ مِنْهُمَا»

"Pindi ahadi ya utiifu (Bay'ah) inapopewa makhalifah wawiIi muuweni huyo wapili miongoni mwao"

 Na hadith yake (saw):

«سَتَكُونُ هَنَاتٌ، وَهَنَاتٌ، فَمَنْ أَرَادَ أَنْ يُفَرِّقَ بَيْنَ أَمْرِ الْمُسْلِمِينَ وَهُم جَمِيعٌ فَاضْرِبُوهُ بِالسَّيْف كَائِنًا مَنْ كَانَ»

“Kutakuweko na mizozo na mivutano, yeyote atakaye taka kuuvunja umoja wa Waislamu; mkateni shingo yake kwa upanga awe atakaye kuwa."

Na hadith yake (saw):

«مَنْ أَتَاكُمْ وَأَمْرُكُمْ جَمِيعٌ عَلَى رَجُلٍ وَاحِدٍ يُرِيدُ أَنْ يَشُقَّ عَصَاكُمْ أَوْ يُفَرِّقَ جَمَاعَتَكُمْ فَاقْتُلُوهُ»

“Yeyote atakaye wajilieni huku mukiwa mumeshikamana pamoja chini ya kiongozi mmoja akataka kuvunja mshikamano wenu au kugawanya umoja wenu, muuweni."

Imam Al-Nawawi asema katika "Sharh Muslim": Ni agizo la kumpiga vita yule aliye kwenda kinyume na kiongozi au kutaka kuvunja umoja wa Waislamu na kadhalika, Allah atuepushe mbali, ikiwa hata rudi nyuma anapaswa kupigwa vita, na ikiwa uovu wake hauondoki isipo kuwa kwa kifo chake basi anapaswa kuuliwa. Hadith hii ni dalili inayo thibitisha uharamu wa kuwa na zaidi ya Imam mmoja au Makhalifah wawili kwani hili hupelekea mgawanyiko na mfarakano, na kutokea kwa mvutano na kutoweka kwa baraka, hii imepokewa kwa wingi wa upokezi. Asema kuwa wanazuoni wamekubaliana kuwa haijuzu kuteua Makhalifah wawili kwa wakati mmoja."    

Sasa twambieni, enyi viongozi na watawala: maregeleo yenu ni kwa sheria ipi, ya Allah au ya maadui wa Allah? Je, inaruhusiwa katika sheria ya Allah "kuweka amani" na Mayahudi kwa kuwapa sehemu kubwa ya ardhi ya Palestina?! Je, sheria ya Allah inaruhusu kuzivunja vunja biladi za Waislamu kuwa vijidola vingi? Au yaagiza kuunganishwa kwao? Munajua fika kuwa pindi Umma utakapo ungana kama dola moja, dola yake itakuwa nambari moja duniani katika nyanja zote, na nchi nyengine zote za kiulimwengu zitatafuta ridhaa yake. Amerika na wengineo hawange subutu kuchuku uamuzi wowote dhidi yake; wala umbile la Kiyahudi lisinge kuwepo.  

Enyi Waislamu:

Kadhia sio tangazo la Trump kuwa Jerusalem iwe mji mkuu wa dola ya Kiyahudi, huku watawala wa Waislamu wakikusanyika jijini Istanbul, uliokuwa makao makuu ya Khilafah ya Kiuthmani, wito wa kutangazwa Jerusalem Mashariki kuwa mji mkuu wa Gaza na Ukingo wa Magharibi au kile wanacho kiita dola ya Palestina. Wanaitambua Jerusalem Magharibi, bali ardhi yote ya Palestina, kuwa milki ya umbile la Kiyahudi! Lakini kadhia ni kuwa Palestina na Jerusalem yake na miji yake na vijiji vyake vyote ni ardhi ya Kharaji ya Kiislamu milki ya Umma mzima wa Kiislamu mpaka siku ya Qiyama. Ni lazima ikombolewe, na umbile la Kiyahudi kung'olewa, kwa kupitia majeshi ya Waislamu. Majadiliano ya kisiasa wala mikataba ya muda mrefu au mfupi, wala hata maandamano ya ghasia ya watu wa Palestina, licha ya idadi yao kubwa, sio yatakayo ikomboa Palestina. Bali itakombolewa kupitia jeshi lililojihami kikamilifu lililo shikamana na Uislamu, lenye Iman, mipango, mafunzo, zana nzito, ndege, vifaru, makombora na mitutu.    

Enyi Waislamu

Watawala hawa wanatekeleza maagizo ya maadui wa Umma huu, kwa kujaribu kuubembeleza kukubali uwepo wa Mayahudi na kuweka amani nao, mkabala wake ni kutambua umbile hili katili kwa dola hafifu ya watu wa Palestina katika Ukingo wa Magharibi na Ukanda wa Gaza na Jerusalem Mashariki. Sio siri kwa yeyote miongoni mwenu, kuwa baadhi yao wanalitambua umbile la Mayahudi, bendera yake inapepea wazi wazi jijini Cairo, Ankara na Amman, na biladi nyenginezo za Waislamu kwa siri.

Enyi Waislamu

Watawala hawa wanatekeleza uhalifu dhidi yenu nchini Ash-Sham, Yemen, Libya, Misri, Tunisia, na kwengineko. Wanawatawala kwa mkono wa chuma na silaha, na kuwakataza kujifunga na sheria ya Mola wenu, musiamini urongo wao, wala musiwasaidie katika dhulma zao, musiwasikize wala kuwatii.

Enyi Waislamu

Hakuna matarajio kwa watawala hawa. Wale walio onyesha wazi wazi amani kwa umbile hili la Kiyahudi ni wanafiki. Wale wanaodai kutokuwa tayari kuweka uhusiano wao nalo pia ni wanafiki. Wote wamemkhini Allah na Mtume wake na waumini, na kuyageuza majeshi yetu kulinda viti vyao vya utawala na kuhifadhi maslahi ya dola za kikoloni na kuwauweni nyie, badala ya kuyaelekeza kupigana katika njia ya Allah kuzikomboa ardhi za Waislamu zilizo kaliwa, na kueneza Uislamu. Kamwe hakuna matarajio kwao, lakini matarajio baada ya Allah (swt), yako kwenu nyinyi katika kuwang'oa makatili hawa na kuwazuia kutowadhiti nyinyi, na hamu yenu ya kufikia umoja wenu chini ya kivuli cha Khilafah Rashidah katika njia ya Utume.  

Na nyinyi, viongozi wa majeshi ya Waislamu, mushatayarisha jibu la kwenda kumpa Mola wa Mbingu na ardhi atakapo kuulizeni (swt) kuhusu kunyamaza kwenu kimya juu ya khiana ya watawala hawa wazembe (Ruwaybidha), wakati munaiona khiana yao wazi wazi, na kushuhudia kasi yao katika kuwatii maadui wa Allah na maadui wenu?

Ama kwa mashekhe na wanazuoni, tunawakumbusha kwamba wao ni warathi wa mitume na kwamba jukumu la kuuongoza Umma huu linaanguka mabegani mwao, kupambana na watawala hawa madhalimu, na kutangaza neno la haki na kulingania utabikishaji kamilifu wa sheria ya Allah. Na kipaumbele ya hili ni kuhuisha ufaradhi wa Jihad, sio tu katika kuzikomboa ardhi zilizo kaliwa, bali pia katika kueneza Uislamu ulimwenguni.

Ewe Allah, tupe ahadi yako ya kusimama kwa Khilafah (Istikhlaf); umakinifu na mamlaka, na ututayarishie watu wanaomiliki nguvu kutupa nusra, na kutuwezesha kuikomboa Bait ul Maqdis na kuitwahirisha kutokana na najisi ya Mayahudi.

Dkt. Osman Bakhach

Mkurugenzi wa Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir

Hizb-ut Tahrir: Afisi ya Habari
Afisi Kuu ya Habari
Address & Website
Al-Mazraa P.O. Box. 14-5010 Beirut- Lebanon
Tel: 00961 1 30 75 94 Mobile: 00961 71 72 40 43
www.hizb-ut-tahrir.info
Fax: Telefax
E-Mail: media (at) hizb-ut-tahrir.info

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu