Alhamisi, 18 Ramadan 1445 | 2024/03/28
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Afisi ya Habari
Wilayah Sudan

H.  22 Muharram 1443 Na: HTS 1443 / 02
M.  Jumatatu, 30 Agosti 2021

 Taarifa kwa Vyombo vya Habari
Ualishi wa Kuhudhuria na Kushiriki katika Jukwaa la Kadhia za Ummah

(Imetafsiriwa)

Ni furaha kwetu katika Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan kuwaalika ndugu zetu wataalamu wa vyombo vya habari, wanasiasa na wasomi na wanamaoni kuhudhuria na kushiriki katika Jukwaa la kila wiki la Kadhia za Ummah, ili kujadili maswala ya sasa.

Anwani ya Jukwaa la wiki hii ni:

Mfumo wa Majimbo na Uhuru wa Kujitawala Wenyewe...
ni kwa ajili ya Umoja wa Sudan au kwa ajili ya Kuivunja Vunja kwake?!

Wazungumzaji katika jukwaa:

1- Ustadh Ahmad Al-Khatib - Mwanachama wa Hizb ut Tahrir.

2- Wakili Ahmad Abakar - Mwanachama wa Hizb ut Tahrir.

Mwendesha jukwaa ni Ibrahim Musharraf - Mwanachama wa Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Sudan

Mahali: Afisi ya Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Sudan - Khartoum Mashariki / Barabara ya Al-Mak Nimr Magharibi makutano ya Barabara ya Oktoba 21.

Wakati: Jumamosi, 27 Muharram 1443 H sawia na 4/9/2021 M – saa Tano asubuhi.

Wale ambao hawatawahi kuhudhuria wanaweza kutufwatilia moja kwa moja kupitia mitandao ifuatayo:

Ukurasa wa Vyuo Vikuu: https://www.facebook.com/tahrir1953/

Ukurasa wa Wilayah: https://www.facebook.com/HTSUDAN/

Chaneli ya Hizb ya YouTube: https://www.youtube.com/channel/UCUwZ-FlOIDgnk2Mook_9M-A

Uwepo wako unatupa heshima na kunogesha mjadala.

Ibrahim Othman (Abu Khalil)
Msemaji Rasmi wa Hizb ut Tahrir
katika Wilayah Sudan

Hizb-ut Tahrir: Afisi ya Habari
Wilayah Sudan
Address & Website
Tel: 

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu