Logo
Chapisha ukurasa huu

بسم الله الرحمن الرحيم

Kudai kuachiliwa huru kwa Naveed Butt, ambaye alitekwa nyara tangu mwaka wa 2012 M kwa mujarad tu wa kutaka kwake kukombolewa kwa Pakistan kutokana na kutawaliwa na Marekani!

Tafadhali sambaza video hii kwa Waislamu katika nchi zote kwa jumla na Waislamu nchini Pakistan hasa, na itumwe kwa wanahabari, mawakili, mashirika ya haki za binadamu na misheni za kidiplomasia za Pakistan ndani ya nchi na ng’ambo kwa upana iwezekanavyo.

https://youtu.be/VL8sEQftYMU

https://www.alwaqiyah.tv/index.php/video/7034/freenaveedbutt30022022/

https://alwaqiyah.zat.one/FreeNaveedButt30042022SD.mp4

Mwenyezi Mungu yuko katika msaada wa mja maadamu mja yuko katika msaada wa nduguye.

#FreeNaveedButt

https://twitter.com/FreeNaveedButt_

Kwa maelezo zaidi kuhusu kutekwa nyara kwa mhandisi Naveed Butt, tafadhali zuru link iliyo hapa chini:

https://www.hizb-uttahrir.info/sw/index.php/kampeni/1571.html

 

Template Design © Joomla Templates | GavickPro. All rights reserved.