Logo
Chapisha ukurasa huu

بسم الله الرحمن الرحيم

  Minbar ya Umma: Maandamano katika Kambi za Al-Karameh "Tunakuitikia Ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu"

Halaiki ya watu wa kijiji cha Felon ilijitokeza katika maandamano ya usiku kumnusuru Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw) chini ya anwani: "Tunakuitikia Ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu"..

Jumatatu, 09 Rabi al-Awwal 1442 H sawia na 26 Oktoba 2020 M

Kumbuka: "Minbar ya Ummah" ni kituo maalumu kinachopeperusha rekodi zilizochaguliwa za Khilafah zilizoandaliwa na watoto wa Ummah wetu. Rekodi hizo hazikutolewa na Hizb ut Tahrir au vitengo vyake rasmi; bali ni rekodi kutoka kwa watoto wa Ummah wa Kiislamu; ambazo zinapeperushwa katika tovuti yetu ili kueneza kheri kwa ajili ya Uislamu na Waislamu.

Imebadilishwa mara ya mwisho mnamoJumatano, 11 Novemba 2020 10:54
Template Design © Joomla Templates | GavickPro. All rights reserved.