Logo
Chapisha ukurasa huu

بسم الله الرحمن الرحيم

Hizb ut Tahrir / Wilaya ya Syria:

Kilio cha Maumivu kutoka kwa Wanawake wa Idlib, na tunaomba kisikiwe na Sikio lenye Kujali!

Kilio kutoka kwa wanawake na wake wanao walilia waume zao kuwekwa vizuizini na majeshi ya usalama ya makao makuu ya ukombozi wa Al-Sham ambao walikamatwa baada ya kuzuiwa kufanya maandamano yaliyo ratibiwa na Hizb ut Tahrir / Wilaya ya Syria katika Jiji la Idlib.

 

Alhamisi 02, Shaaban 1441 H   -  Machi 26, 2020 M.

Imebadilishwa mara ya mwisho mnamoJumapili, 05 Aprili 2020 22:38
Template Design © Joomla Templates | GavickPro. All rights reserved.