Logo
Chapisha ukurasa huu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Hizb ut Tahrir / Wilaya Syria:

Kisimamo cha Kulaani Mapigano ya Kimakundi katika Maandalizi ya Suluhisho la Kisiasa

Hizb ut Tahrir / Wilaya Syria iliandaa kisimamo katika mji wa Ariha, viungani mwa Idlib, kulaani mapigano ya kimakundi katika maandalizi ya suluhisho la kisiasa.

Ijumaa, 05 Dhu al-Qi’dah 1441 H – 26 Juni 2020 M

Imebadilishwa mara ya mwisho mnamoJumapili, 05 Julai 2020 17:31
Template Design © Joomla Templates | GavickPro. All rights reserved.