Logo
Chapisha ukurasa huu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Al-Waqiyah TV:

 Kipindi cha Miangaza

Kwa muongozo wa Amiri wa Hizb ut Tahrir, Mwanachuoni Mkubwa, Ata Bin Khalil Abu Al-Rashtah, Mwenyezi Mungu amlinde, Hizb ut Tahrir imezindua kampeni pana ya kiulimwengu kuashiria kumbukumbu ya 99 ya Kuangushwa kwa Khilafah, Rajab 1441 H sawia na 2020 M, katika tukio hili, Afisi kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir inafuraha kuwasilisha kwa wafuasi wetu na wanaozuru tovuti ya Afisi kuu ya Habari mfululizo wa video kutoka Runinga ya Al-Waqiyah zilopewa kichwa cha, Miangaza Ni ujumbe kutoka kwa wasemaji wa Hizb ut Tahrir katika maeneo tofauti duniani wakikumbuka kumbukumbu ya 99  ya Kuangushwa kwa Khilafah.

Runinga ya Al-Waqiyah ilifanya mahojiano mbali mbali na wazee kutoka kwa Mashabab wa Hizb ut Tahrir kutoka maeneo mbali mbali ulimwenguni ambapo walisisitiza kwamba wao wako imara juu ya ukweli, haijalishi uzito wa majanga, na kwamba wako njiani, haijalishi urefu wa barabara, lengo lao liko wazi na njia wanayotumia imekamilika… Wamejifunga na uongozi wa Hizb ut Tahrir wakimuombea Amiri wake, Ata Bin Khalil Abu Al-Rashtah, Mwenyezi Mungu amlinde, kwa ushindi na uthabiti, wakimuomba Mwenyezi Mungu atuharakishie kusimamishwa tena Dola ya Khilafah ya Uongofu ya pili kwa njia ya Utume, ahadi ya Mwenyezi Mungu (swt) na bishara ya Mtume (saw). Hakika Mwenyezi Mungu ni muweza juu ya hayo.

Endelea kufuatilia…

Friday, 18 Rajab al-Muharram 1441 H – 13 March 2020 M

Ujumbe wa Mhandisi Salah Eddine Adada (Abu Mohammad)
Mkurugenzi wa Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir

Ujumbe wa Dkt. Nazreen Nawaz
Mkurugenzi wa Kitengo cha Wanawake katika Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir

Ujumbe wa Elderma Khazmin
Mwanachama wa Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir

Ujumbe wa Saifullah Mustanir
Mkurugenzi wa Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir Wilayh Afghanistan

Ujumbe wa Okay Pala
Mwakilishi wa Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir Uholanzi

Ujumbe wa Ahmad Abdul Wahhab
Mkuu wa Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir Wilayah Syria

Ustadh Said Fadhl
Mwanachama wa Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir Wilayah Misri

Dada Nisreen Buzhafiri
Mwanachama wa Kitengo cha Wanawake katika Afisi Kuu ya Habar ya Hizb ut Tahrir

Shabani Mwalimu
Mwakilishi kwa Vyombo vya Habari wa Hizb ut Tahrir Kenya

 

Mahmud Kar
Mkuu wa Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir Wilayah Uturuki

Ahmad bin Hussein
Mwanachama wa Hizb ut Tahrir Wilayah Tunisia

Dada Nisreen Buzhafiri
Mwanachama wa Kitengo cha Wanawake katika Afisi Kuu ya Habar ya Hizb ut Tahrir

Haj Said
Mwanachama wa Hizb ut Tahrir Denmark

Mahran Al May
Mwanachama wa Hizb ut Tahrir Wilayah Tunisia

Mha. Osama al-Thuwaini
Kitengo cha Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir Wilayah Kuwait

Islam Abu Khalil
Mwanachama wa Hizb ut Tahrir Uzbekistan

Dkt. Ibrahim Tamimi
Mwanachama wa Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir Ardhi Tukufu - Palestina

Habib Allah
Mwanachama wa Hizb ut Tahrir Afghanistan

Jalal Arfawi
Mwanachama wa Hizb ut Tahrir Wilayah Tunisia

Dada Yasmin Malik
Mwanachama wa Kitengo cha Wanawake katika Afisi Kuu ya Habar ya Hizb ut Tahrir

Mohammad Sahbani
Mwanachama wa Hizb ut Tahrir Wilayah Tunisia

Ustadh Munir Nasir
Mwanachama wa Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir Wilayah Syria

Ustadh Kadir Qashkagi
Mwanachama wa Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir Wilayah Uturuki

Imebadilishwa mara ya mwisho mnamoJumatano, 22 Aprili 2020 12:24
Template Design © Joomla Templates | GavickPro. All rights reserved.