Logo
Chapisha ukurasa huu

بسم الله الرحمن الرحيم

  OGN TV: Dori ya Wanawake wa Kiislamu katika Mwamko wa Ummah Huu

[OGN TV]

Dori ya Wanawake wa Kiislamu katika Mwamko wa Ummah Huu
Bilal Abdul-Kareem kutoka On the Ground News’ anamuhoji Dkt. Nazreen Nawaz, Mkurugenzi wa Kitengo cha Wanawake katika Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir, kuhusiana na dori ya wanawake wa Kiislamu katika mwamko wa Ummah Huu.

Jumapili, 23 Muharram Tukufu 1444 H sawia na 21 Agosti 2022 M

Template Design © Joomla Templates | GavickPro. All rights reserved.