Logo
Chapisha ukurasa huu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Minbar ya Ummah: Maandamano ya Jioni Mjini Idlib Kupinga Kauli za Wizara ya Mambo ya Nje ya Uturuki Kuhusu Maridhiano na Utawala wa Syria!‎

Maandamano ya jioni katika mji wa Idlib kupinga kauli za wizara ya mambo ya nje ya Uturuki kuhusu maridhiano na utawala wa Syria!‎

Jumatano, 19 Muharram Tukufu 1444 H – 17 Agosti 2022 M

Kumbuka: "Minbar ya Ummah" ni kituo maalumu kinachopeperusha rekodi zilizochaguliwa za Khilafah zilizoandaliwa na watoto wa Ummah wetu. Rekodi hizo hazikutolewa na Hizb ut Tahrir au vitengo vyake rasmi; bali ni rekodi kutoka kwa watoto wa Ummah wa Kiislamu; ambazo zinapeperushwa katika tovuti yetu ili kueneza kheri kwa ajili ya Uislamu na Waislamu.

Template Design © Joomla Templates | GavickPro. All rights reserved.