Logo
Chapisha ukurasa huu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Minbar ya Ummah: Maandamano katika Mji wa Areha Yakitaka Mtoto Wake Ibrahim Hajj Ali Aachiliwe huru!!

Maandamano katika mji wa Areha yakiitaka Hay'at Tahrir al-Sham kumwachilia huru mtoto wake Ibrahim Hajj Ali (Abu Dujana).

Ijumaa, 13 Safar Al-Khair 1444 H – 09 Septemba 2022 M

[Hotuba wakati wa Amali ya Maandamano katika Mji wa Areha]

Kumbuka: "Minbar ya Ummah" ni kituo maalumu kinachopeperusha rekodi zilizochaguliwa za Khilafah zilizoandaliwa na watoto wa Ummah wetu. Rekodi hizo hazikutolewa na Hizb ut Tahrir au vitengo vyake rasmi; bali ni rekodi kutoka kwa watoto wa Ummah wa Kiislamu; ambazo zinapeperushwa katika tovuti yetu ili kueneza kheri kwa ajili ya Uislamu na Waislamu.

Template Design © Joomla Templates | GavickPro. All rights reserved.