Logo
Chapisha ukurasa huu

Afisi ya Habari
Wilayah Sudan

H.  4 Jumada I 1444 Na: HTS 1444 / 15
M.  Jumatatu, 28 Novemba 2022

 Mwaliko wa Kuhudhuria na Kushiriki katika Jukwaa la Kadhia za Ummah
(Imetafsiriwa)

Sisi, katika Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir/Wilayah ya Sudan, tunafurahi kutoa mwaliko kwa ndugu katika vyombo vya habari, wanasiasa, na watu wa fikra na maoni, kuhudhuria na kushiriki katika Jukwaa la kila mwezi la Kadhia za Ummah, ambalo linashughulikia kadhia za hivi karibuni, chini ya kichwa:

“Ufederali ni Mashini ya Kuchana... Kwa Nini Tuisisitize katika Katiba Zinazopendekezwa?!”

Wazungumzaji:

1- Ustaadh Muhammad Jami’ (Abu Ayman) – Msaidizi wa Msemaji Rasmi wa Hizb ut Tahrir katika Wilayah Sudan.

2- Mhandisi Basil Mustafa – Mwanachama wa Hizb ut Tahrir.

3- Na afisa wa jukwaa, Ustaadh Ibrahim Musharraf – Mwanachama wa Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah Sudan.

Tarehe: Jumamosi, 09 Jumada Al-Awwal 1444 H sawia na 03/12/2022 M, saa tano asubuhi

Mahali: Afisi ya Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Sudan, Khartoum Mashariki - Magharibi, makutano ya Barabara ya Al-Mak Nimr na Barabara ya 21 Oktoba.

Wale ambao hawataweza kuhudhuria wanaweza kutufwatilia katika mitandao ifuatayo:

Ukurasa wa Wilayah: https://www.facebook.com/HTSudan/

Ukurasa wa Vyuo Vikuu: https://www.facebook.com/tahrir1953/

Chaneli ya Hizb ya YouTube: https://www.youtube.com/channel/UCUwZ-FlOIDgnk2Mook_9M-A

Kuhuduria kwenu ni heshima kwetu.

Ibrahim Othman (Abu Khalil)
Msemaji Rasmi wa Hizb ut Tahrir
katika Wilayah Sudan

Hizb-ut Tahrir: Afisi ya Habari
Wilayah Sudan
Address & Website
Tel: 

Template Design © Joomla Templates | GavickPro. All rights reserved.