Logo
Chapisha ukurasa huu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir:

DVD “Kampeni ya Kitengo cha Wanawake kwa Mnasaba wa Kumbukumbu ya Miaka 101 ya Kuvunjwa Khilafah”

Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir inafuraha kuwasilisha kwa wafuasi na wanaozuru kurasa za Afisi Kuu ya Habari DVD mpya katika lugha tano yenye kichwa:

“Kampeni ya Kitengo cha Wanawake kwa Mnasaba wa Kumbukumbu ya Miaka 101 ya Kuvunjwa Khilafah”

Iliyo tayarishwa na Idara ya Machapisho na Makavazi katika Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut-Tahrir.

Ili Kupakua DVD Hii

Bonyeza Hapa

Ili Kuzuru Ukurasa wa Kampeni ya Kimataifa

Bonyeza Hapa

Template Design © Joomla Templates | GavickPro. All rights reserved.