- |
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- ukubwa wa font punguza ukubwa wa font zidisha ukubwa wa font
بسم الله الرحمن الرحيم
Hizb ut Tahrir / Amerika:
Kongamano la Khilafah 2026 “Kutoka Mgawanyiko hadi Umoja”

Hizb ut Tahrir Amerika ilifanikiwa kufanya kongamano lake la kila mwaka kwa mwaka huu 1447 H (2026 M), kama sehemu ya kampeni ya kimataifa iliyoandaliwa na Hizb ut Tahrir kwa mnasaba wa kumbukumbu ya kuvunjwa kwa Khilafah mnamo tarehe 28 Rajab, 1342 H. Kongamano hilo lilitumika kama wito kwa Waislamu kote duniani kutambua na kutimiza wajibu wao wa kuregesha mfumo kamili wa maisha wa Kiislamu kwa kusimamisha Khilafah kwa njia ya Mtume wetu Muhammad (saw).
Jumapili, 29 Rajab 1447 H – 18 Januari 2026 M

Kusoma Taarifa kwa Vyombo vya Habari iliyotolewa na
Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir Amerika, yenye kichwa:
“Kongamano la Khilafah 2026: Kutoka Mgawanyiko hadi Umoja,”
Jumapili, 29 Rajab 1447 H, sawia na 18 Januari 2026 M

Video za Kongamano la Khilafah 2026
- Hotuba ya Kwanza -
“Yaliyo Nyuma ya Kaulimbiu: Johari ya Umoja wa Kiislamu”
- Hotuba ya Pili -
“Kutoka Kugawanyika hadi kuwa na Nguvu: Kujenga Muundo Jumuishi wa Kiislamu”
- Hotuba ya Tatu -
“Khilafah: Taswira Mpya ya Uongozi”



- Alama Ishara za Kampeni -
#أقيموا_الخلافة
#في_ذكرى_هدم_الخلافة
#ReturnTheKhilafah
#YenidenHilafet
#خلافت_کو_قائم_کرو
#TurudisheniKhilafah

Kwa Malelezo Zaidi Tafadhali Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Amerika:
Tovuti Rasmi ya Hizb ut Tahrir / Amerika
Ukurasa wa Facebook wa Hizb ut Tahrir / Amerika
Ukurasa wa Instagram wa Hizb ut Tahrir / Amerika
Akaunti ya X ya Hizb ut Tahrir / Amerika
//www.tiktok.com/@nusrah.media">Akaunti ya TikTok ya Hizb ut Tahrir / Amerika
