Logo
Chapisha ukurasa huu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Wilayah Uturuki: Kongamano la Kiuchumi Jijini Ankara "Masuluhisho ya Kiislamu kwa Mgogoro wa Kiuchumi katika Nukta Kumi!"

Hizb ut-Tahrir / Wilayah Uturuki iliandaa kongamano la kiuchumi katika Kituo cha Utamaduni cha Kocatape jijini Ankara lenye kichwa "Masuluhisho ya Kiislamu kwa Mgogoro wa Kiuchumi katika Nukta Kumi!" Ndugu waliohadhiri ni; Ustadh Suleiman Ugurlu, Ustadh Mehmet Hanafi Yagmur, Ustadh Musa Beyoglu, Ustadh Abdullah Imamoglu, ambapo walionyesha suluhisho sahihi la Kiislamu kwa mgogoro wa kiuchumi unaoikumba Uturuki.

Kwa Maelezo Zaidi Bonyeza Hapa

Jumapili, 06 Jumada Al-Akhir 1443 H sawia na 09 Januari 2022

Kwa Maelezo Zaidi Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki:

Tovuti Rasmi ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Ukurasa wa Facebook wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Ukurasa wa Twitter wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Akaunti ya Instagram ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Chaneli ya YouTube ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Tovuti ya Jarida la Kokludegisim

 

Template Design © Joomla Templates | GavickPro. All rights reserved.