Logo
Chapisha ukurasa huu

Afisi ya Habari
Wilayah Sudan

H.  30 Rabi' II 1444 Na: HTS 1444 / 13
M.  Alhamisi, 24 Novemba 2022

 Mwaliko wa Kuhudhuria na Kushiriki katika Mkutano na Wanahabari
(Imetafsiriwa)

Sisi, katika Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Sudan, tunafura kuwaalika ndugu katika vyombo vya habari, wanasiasa, na watu wa fikra na maoni, kuhudhuria na kushiriki katika mkutano wa waandishi wa habari ambao Hizb utaufanya katika Wakfu wa Habari wa Taiba chini ya kichwa:

“Uwasilishaji wa Rasimu ya Katiba Inayosuluhisha Mzozo, Kuleta Pande pamoja, na Kuwakasirisha Maadui”

Wazungumzaji:

1- Ustadh Ibrahim Othman (Abu Khalil) - Msemaji Rasmi wa Hizb ut Tahrir katika Wilaya Sudan.

2- Ustadh Hatem Jafar - Mjumbe wa Baraza la Hizb ut Tahrir katika Wilaya Sudan.

Tarehe: Jumapili, 03 Jumada Al-Awwal 1444 H, sawia na 11/27/2022 M, saa 1 mchana

Wale ambao hawatawezi kuhudhuria wanaweza kutufuatilia kwenye mitandao ifuatavyo:

Ukurasa wa Vyuo Vikuu: https://www.facebook.com/tahrir1953/

Ukurasa wa Wilayah: https://www.facebook.com/HTSudan/

Chaneli ya YouTube ya Hizb: https://www.youtube.com/channel/UCUwZ-FlOIDgnk2Mook_9M-A

Kuhudhuria kwenu ni heshima kwetu.

Ibrahim Othman (Abu Khalil)
Msemaji Rasmi wa Hizb ut Tahrir
katika Wilayah Sudan

Hizb-ut Tahrir: Afisi ya Habari
Wilayah Sudan
Address & Website
Tel: 

Template Design © Joomla Templates | GavickPro. All rights reserved.