Logo
Chapisha ukurasa huu

Afisi ya Habari
Wilayah Sudan

H.  3 Dhu al-Hijjah 1447 Na: HTS 1447 / 120
M.  Jumatano, 20 Mei 2026

Taarifa kwa Vyombo vya Habari

Mwaliko wa Kuhudhuria Kikao cha Kisiasa
(Imetafsiriwa)

Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah Sudan ina furaha kuwaalika wanahabari, wanasiasa, na wote walio nah amu na masuala ya umma kuhudhuria kikao kipya cha kisiasa, kinachomkaribisha Ustadh Ibrahim Mushrif, mwanachama wa Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah Sudan, chenye kichwa:

“Dori Iliyopewa Nchi Jirani katika Vita vya Sudan

Wakati: Jumamosi, 06 Dhul Hijjah 1447 H, sawia na 23 Mei 2026 M, saa 1:00 PM, InshaAllah.

Mahali: Afisi ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan jijini Port Sudan – Wilaya ya Al-Azmah – Mashariki mwa Uga.

Ibrahim Othman (Abu Khalil)
Msemaji Rasmi wa Hizb ut Tahrir
katika Wilayah Sudan

Hizb-ut Tahrir: Afisi ya Habari
Wilayah Sudan
Address & Website
Tel: 0912240143- 0912377707
http://www.hizb-sudan.org/
E-Mail: Spokman_sd@dbzmail.com

Template Design © Joomla Templates | GavickPro. All rights reserved.