Jumatano, 08 Sha'aban 1441 | 2020/04/01
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu
Wasifu wa Amiri

Wasifu wa Amiri (72)

Jibu la Swali Dalalat Al-Iqtidha Kwa: Zahid Talib Na’eem

Katika kitabu Shakhsiya ya Kiislamu Juzuu 3 juu ya mada (Chochote kinacho pelekea Wajib hicho nacho ni Wajib) katika ukurasa wa 44 (nakala ya Kiarabu) kinaeleza kuwa: "na ima iwe sababu ni ya kisheria kama jinsi ya kuacha huru (watumwa) kwa lazima" kana kwamba anakusudia aya ya dhwihar, katika maneno ya Mwenyezi Mungu:

Soma zaidi...

Adhabu ya Mzinifu Aliye Katika Ndoa [Muhsan Zani] Katika Uislamu

Kuhusiana na adhabu ya kifo kwa mzinifu aliye katika ndoa (muhsan), je, hii imeorodheshwa katika Fiqhi ya Uislamu? Kuna baadhi ya wanavyuoni kama vile Sheikh Abu Zahrah ambao hawaiorodheshi kama adhabu ya Hudud. Vilevile pia imeungwa mkono na Sheikh Mustafa Zarqa anaye eleza kuwa huorodheshwa katika hukmu ya Taazir. Wewe waonaje kuhusu kadhia hii?

Soma zaidi...

Hukmu ya Baba Anaye Muozesha Binti Yake Pasi na Ridhaa Yake

Ni njia ipi ya kutatua tatizo hili endapo ndoa itafungwa ilhali bado haijakamilika? Sio kwa sababu nimelazimishwa kutia saini, bali kwa sababu wameniambia kuwa mchumba au bwana harusi yuko mlangoni na nikamkubalia, lakini kwa kuhisi kuwa chini ya shinikizo na kulazimishwa kukubali pasi na kuzungumzishwa.

Soma zaidi...

Ni nini Sababu ya Ziara Isiyokuwa ya Kawaida na Dharura ya Netanyahu kwenda London?

Netanyahu alizuru Moscow mnamo 12/9/2019 wakati wa kipindi muhimu cha uchaguzi wiki mbili kabla uchaguzi wa umbile la Kiyahudi. Kabla hapo mnamo 5/9/2019 kwa haraka alizuru Uingereza na kukutana na Waziri Mkuu ambaye alikuwa amebanwa kwa mzigo wa Brexit; wakati ambapo Johnson alipata mapigo ya kushindwa mtawalia katika Bunge la Uingereza kuhusiana na Uingereza kuondoka katika Muungano wa Ulaya pasina na makubaliano.

Soma zaidi...

Ni Kipi Kilicho Nyuma ya India Kufutilia Mbali Hadhi Maalumu ya Kashmir

[Raisi wa Marekani Donald Trump alimwambia waziri mkuu, Imran Khan, katika maongezi ya simu mnamo Ijumaa kuwa ni muhimu kwa India na Pakistan kupunguza taharuki eneo la Kashmir na Jammu kupitia "mazungumzo baina ya pande mbili," Ikulu ya White House ilisema katika taarifa. (Reuters mnamo 17/8/2019)]

Soma zaidi...
Jiunge kwa hii RSS feed

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu