Jumanne, 16 Dhu al-Qi'dah 1441 | 2020/07/07
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Wanawake Waislamu Hawahitaji Sherehe za Kila Mwaka za Kufeli Kiulimwengu katika Kusuluhisha Matatizo ya Wanawake. Tunahitaji Khilafah itakayokuwa Mlinzi na Ngao Yetu

Kauli mbiu ya mwaka 2020 ilikuwa ‘Usawa kwa Kila Mmoja’ ambayo ililingania kwa utendaji wa pamoja ili kufikia usawa wa kijinsia ndani ya serikali, sehemu za kazi, michezo na kuangaziwa na vyombo vya habari pamoja na sekta nyingine ndani ya dola.

Soma zaidi...

Wacha Ummah Usimame dhidi ya Taasisi hizi Ovu na Uzuie Mipango Yake

Kundi la mashirika linadhamiria kufanya mandamano saa sita mchana, Alhamisi 02/01/2020, kudai kutiwa saini kwa Makubaliano ya Kuondoa Aina zote za Ubaguzi dhidi ya Wanawake (CEDAW), na kusema kwamba maandamano hayo yatakutana na Waziri Mkuu na Waziri wa Sheria kukabidhi ujumbe huo, na kutangaza kuwa mashirika yote yaliyoshiriki katika maandamano hayo yanajumuisha “The Strategic Initiative for Women in the Horn of Africa,” The Initiative of No to the Oppression of Women, the Women's Union, vile vile kamati za upinzani na mkusanyiko wa Kendakat kusini mwa Khartoum.

Soma zaidi...

Waislamu Warohingya wanaingia Mwaka Mpya wakiwa na hofu kwa kukosekana Khilafah

BBC iliripoti kuhusiana na kupambamoto kwa janga la Rohingya huku idadi ya wanaotarajiwa kushtakiwa dhidi ya serikali ya Myanmar ikiwasilishwa katika mahakama za kimataifa na Venezuela na Gambia. Habari iliyotoka mnamo 19 Novemba 2019 inaelezea hadithi kwamba kijana wa miaka 11 anayeitwa Omar anayeishi pasina familia yoyote katika kambi ya wakimbizi ya Cox Bazaar ndani ya Bangladesh.

Soma zaidi...

Nidhamu ya Elimu ya Msingi Katika Khilafah ya Uthman

Kampeni mbaya dhidi ya Waislamu na Uislamu zimekuwepo tangu kuteremshwa kwa Aya ya kwanza ya Quran. Yaliyokuwa madai ya kawaida zaidi ni yale yaliyotolewa na wale wanaotamani kuushambulia mtazamo wa Uislamu juu ya maisha ni kwamba mafunzo ya Uislamu yanapigia debe ujinga, ufuataji wa kipofu, kujenga watu wasiojali wenzi wao na wasio heshimu maendeleo ya kiteknolojia na kijamii hususan masuala yanayohusiana na wasichana na kuwawezesha kupitia elimu.

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu