Jumapili, 05 Sha'aban 1441 | 2020/03/29
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Hali ya Kisiasa Nchini Gambia

Tunataraji Hizb inatia maanani kadhia za Waislamu katika Afrika kama inavyotia maanani kadhia nyengine za Waislamu ambazo likizuka jambo tu hutoa toleo baada ya siku moja au mbili…Lakini, kwa mfano, Gambia, haijatoa toleo lolote kuhusu (nchi hiyo) hadi leo, pamoja na kwamba yaliyotokea yameendelea kwa karibu miezi miwili.

Soma zaidi...

Harakati za Kiraia Nchini Iraq, Lebanon na Iran

Twajua kuwa harakati maarufu nchini Iraq, Lebanon na Iran zilianza kwa ghafla kama ilivyo dhihirika mnamo 5/11/2019; je, zingali hivyo? Je, kuna dori zozote za Ulaya katika nchi hizi tatu ambako Marekani ina ushawishi? Je, hali katika nchi hizi tatu itabaki kama ilivyo, au Marekani iko katika mchakato wa kuwabadilisha vibaraka hawa au baadhi yao kupitia mabadiliko ya kawaida au kupitia jeshi kama ilivyo fanya nchini Misri na Sudan? Mwenyezi Mungu akulipe kheri.

Soma zaidi...

Ni Upi Uhalisia wa Mzozo wa Kimataifa na Ushawishi wake ndani ya Algeria?

Katika nchi ambayo watu wake wameubeba Uislamu, nchi ya mashahidi milioni moja kwa kupigana jihad dhidi ya uvamizi wa Ufaransa uliokuwepo kwa miaka 132, ndani ya nchi maandamano yaliyoungwa mkono na wengi yalianza, yakivunja vizuizi vya hofu kwa madhalimu wa Algeria tangu 22/2/2019 mpaka wa leo, lakini hawalinganii Uislamu! Ni zipi sababu za hilo? Ni upi uhalisia wa mzozo wa kimataifa na ushawishi wake ndani ya Algeria? Je una dori katika yale yanayotokea? Na kutarajiwe nini hususan kuhusiana na uchaguzi?

Soma zaidi...

Mzozo wa Amerika na Ulaya ndani ya Sudan

Imebainika kuwa maafisa wa Ulaya wamemiminika ndani ya Sudan na kutangaza kuinusuru serikali ya Hamdouk. Mnamo 16/9/2019, Waziri wa Kigeni wa Ufaransa aliwasili Khartoum na kukutana na Waziri Mkuu wa Sudan, Abdallah Hamdouk na kutangaza msaada wa Uro milioni 60 kwa Sudan na kwamba itafanyakazi kuiondosha Sudan katika orodha ya Ugaidi. Waziri wa Kigeni wa Ujerumani naye akawasili na kutangaza vivyo hivyo kuhusu orodha ya Ugaidi…

Soma zaidi...

Ni nini Sababu ya Ziara Isiyokuwa ya Kawaida na Dharura ya Netanyahu kwenda London?

Netanyahu alizuru Moscow mnamo 12/9/2019 wakati wa kipindi muhimu cha uchaguzi wiki mbili kabla uchaguzi wa umbile la Kiyahudi. Kabla hapo mnamo 5/9/2019 kwa haraka alizuru Uingereza na kukutana na Waziri Mkuu ambaye alikuwa amebanwa kwa mzigo wa Brexit; wakati ambapo Johnson alipata mapigo ya kushindwa mtawalia katika Bunge la Uingereza kuhusiana na Uingereza kuondoka katika Muungano wa Ulaya pasina na makubaliano.

Soma zaidi...

Ni Kipi Kilicho Nyuma ya India Kufutilia Mbali Hadhi Maalumu ya Kashmir

[Raisi wa Marekani Donald Trump alimwambia waziri mkuu, Imran Khan, katika maongezi ya simu mnamo Ijumaa kuwa ni muhimu kwa India na Pakistan kupunguza taharuki eneo la Kashmir na Jammu kupitia "mazungumzo baina ya pande mbili," Ikulu ya White House ilisema katika taarifa. (Reuters mnamo 17/8/2019)]

Soma zaidi...

Uhalisia wa Yaliyotokea na Yanayotokea Aden!

Ni yapi yaliyotokea na yanayotokea mjini Aden? Ni vipi kunakuwepo vita baina ya Baraza la Al-Zubaidi na serikali ya Hadi, ijapo kuwa Al-Zubaidi alikuwa ni gavana wa Aden aliye teuliwa na Hadi, na baada ya kutimuliwa, alibakia mjini Aden pasi na serikali ya Hadi kuchukua hatua yoyote dhidi yake, bali alikuwa akiyakusanya majeshi yake mbele ya macho na masikio serikali hiyo?!

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu