Zaka juu ya Bidhaa za Biashara
Jumatatu, 28 Sha'aban 1444 - 20 Machi 2023
Namaanisha, zaka ya bidhaa za biashara ni thamani ya bidhaa inayotolewa kwa ajili ya kuuzwa, thamani ya kuiuza kutoka kwa mlipaji zaka kwa wateja wake, sio thamani ambayo mlipaji zaka anainunulia kwayo! Ikiwa nilinunua simu za rununu 10,000 na kuziuza kwa 15,000. Zaka itakuwa kutokana na 15,000. Je, hii ni sahihi?!
Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC): Chombo Mikononi mwa Marekani
Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) iliyo jijini The Hague/ Uholanzi imetoa agizo la kukamatwa…
Ufisadi Umekuwa ndio Msingi wa Tabia Yenu
Özlem Zengin, Naibu Mwenyekiti wa Kundi la AKP, alisema, "Hili ni eneo letu jekundu" kwa…
Hizb ut Tahrir/ Wilayah Pakistan: Uislamu haupaswi Kuchukuliwa kama Programu…
Kwa kweli ni kama Mfumo wa Uendeshaji (OS) ambao hauwezi kusakinishwa kwenye OS nyengine. Majaribio yoyote…
Hizb ut Tahrir / Syria: Amali za Maandamano kwa…
Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria iliandaa, amali za maandamano na matembezi katika miji na…
Pongezi kutoka kwa Amiri wa Hizb ut Tahrir, Mwanachuoni Mkubwa,…
Kwa Umma bora ulioletwa kwa ajili ya wanadamu... Umma wa Kiislamu ambao Mwenyezi Mungu ameutukuza…