Jumatatu, 30 Jumada al-thani 1441 | 2020/02/24
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Mwamko wa Kiislamu Utaletwa na Khilafah Pekee, Kwa hiyo Watu wenye Nguvu Wajitokeze na Nussrah yao kwa ajili ya Khilafah kwa Njia ya Utume

Mjadala umetanda ndani ya mitandao ya kijamii nchini Pakistan kuhusiana na video kupitia twitter kutoka kwa mwanajeshi mkuu wa majeshi ya majini akilingania Uislamu kutawala dunia. Admiral Zafar Mahmood Abbasi alitangaza kwamba Pakistan inaweza kuwa ndio kianzio cha kurudi kwa utukufu wa Uislamu, na kuongezea kwamba Waislamu walitawala dunia kupitia Uislamu, ilhali Ulaya ilitawala dunia kupitia kuipinga dini.

Soma zaidi...

#MwacheniHuruDktRoshan: Kumteka Nyara Mwanamke kwa Ajili tu ya Kulingania Hukmu kwa yale yote Yaliyoteremshwa na Allah (swt) ni Kushuka Daraja ya Maquraysh

Katika ugandamizaji wao wa nguvu kwa ulinganizi wa kisiasa wa Uislamu kama mfumo kamili wa maisha, watawala wa Pakistan wametupilia mbali hadhi kuu ambayo Uislamu umeipatia heshima ya mwanamke wa Kiislamu. Katika usiku wa mapema wa Jumatatu 13 Agosti 2018, wafanyikazi wa asasi za usalama walivamia nyumba ya Dkt Romana Roshan na kumteka nyara yeye pamoja na mumewe. Dkt Roshan mlinganizi anayeheshimika mno na mashuhuri sana wa Khilafah kwa njia ya Utume jijini Karachi.

Soma zaidi...

#MuachilieniHuruDadaYetuRomana: Ni Mpango wa Marekani wa kumvamia usiku na kumteka nyara Mwanamke Muumini nyumbani kwake, kwa sababu ya Kutamka kuwa Mola wake ni Allah (swt)

Saa za mapema mnamo 30 Julai 2018 wafanyikazi kutoka idara ya ujasusi ilimteka nyara Dada Romana Hussain, mwalimu wa Kiislamu mwenye kuheshimika na mama wa watoto wanne. Amehitimu shahada ya masuala ya kiakili na falsafa kutoka chuo maarufu cha ST.Joseph na shahada ya uzamili katika masomo ya Uislamu. Baada ya kuipata thaqafa ya Hizb ut Tahrir nyumbani kwao Karachi, majambazi hawa walimteka bila kujali utukufu wa nyumba au kuwanyima watoto usimamizi wao.

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu