Jumanne, 09 Ramadan 1445 | 2024/03/19
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Al-Waqiyah TV: Kampeni “Inatosha Miaka 100 ya Unyonge!”

Katika mwezi wa Rajab Tukufu mwaka huu, 1445 H - 2024 M, inarudi kwetu kumbukumbu ya uchungu ya miaka 103 H na 100 M ya kuvunjwa kwa dola ya Kiislamu na wahalifu wa Kiarabu na Kituruki, ambayo iliasisiwa na Bwana wa Mitume Muhammad (saw), na maswahaba zake watukufu (ra), na kuondolewa kwa mfumo wa utawala wa Kiislamu (Khilafah) mnamo tarehe 28 Rajab Tukufu mwaka 1342 H, sawia na 03/03/1924 M, na ardhi iliyobarikiwa (Palestina) ilipotea kwa kupotea Imam ambaye ni ngao, Khalifa wa Waislamu ambaye kwaye wanapigana nyuma yake na kujihami..

Soma zaidi...

Hizb ut Tahrir / Wilayah Lebanon: Kikao cha Kutafuta Nusra kwa ajili ya Watu wetu huko Gaza, na Kuyaomba Nusra Majeshi, na Kuyataka Yatangaze Jihad!

Kwa mwaliko kutoka kwa Hizb ut Tahrir/Wilayah Lebanon, Swala ya Ijumaa iliswaliwa pamoja na kikao cha utafutaji nusra katika "Uwanja wa Al-Nour" jijini Tripoli Al-Sham kwa kichwa "Nusra kwa watu wetu huko Gaza na kuyaomba nusra majeshi ya Umma na kuyataka kuvunja mipaka na kutangaza jihad.”

Soma zaidi...

Al-Waqiyah TV: Ujumbe wa Haraka “Kama hamwendi atakuadhibuni adhabu chungu, na atawaleta watu wengine.” [Al-Tawba: 39]

Kwa kuwaombea nusra Waislamu kupitia kuangushwa viti vya watawala wasaliti na kusonga kwa majeshi ili kuukomboa Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa na Palestina yote inayokaliwa kimabavu kuanzia mto wake hadi bahari yake kutokana na makucha ya Mayahudi wahalifu.

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu