Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki: Amali kwa Mnasaba wa Kumbukumbu ya Miaka 105 ya Kuvunjwa Khilafah
- Imepeperushwa katika Uturuki
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Kwa mnasaba wa kumbukumbu ya miaka 105 H (102 M) ya kuvunjwa kwa Dola ya Kiislamu (Khilafah Uthmani) na wakoloni makafiri, wakisaidiwa na wasaliti wa Kiarabu na Kituruki, na kufutwa kwa mfumo wa utawala wa Kiislamu (Khilafah) kutoka kwa Ummah wa Kiislamu, na kugawanyika kwa ardhi za Waislamu kuwa vidola dhaifu vinavyotawaliwa na vibaraka wa wakoloni makafiri, Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki iliandaa msururu wa semina na mikutano ya wakati mmoja katika maeneo 50 kote nchini Uturuki chini ya kichwa: “Khilafah si Khiyari, bali ni Dharura ya Kidini!”



