Jumapili, 05 Sha'aban 1441 | 2020/03/29
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Watu wa Misri Al-Kinanah, Wakijumisha Mukhlisina katika Jeshi, Kataeni Mpango wa Trump Na Kesho Wataitakasa Al-Aqsa kutokamana na Uharibifu wa Mayahudi, Kesho iko karibu

Kutoa maoni juu ya tangazo la Trump la mpango wake wa amani kwa kinachojulikana kama Mpango wa Karne, Wizara ya Mambo ya Kigeni ya Misri ilisema katika taarifa iliyochapishwa katika tovuti yake rasmi: “Misri inaona umuhimu wa kuzingatia utangulizi wa utawala wa Amerika kwa umuhimu wa kufikia kutatua suala la Palestina kwa ajili ya kuwarudishia watu wa Palestina haki zao kamili kupitia kuanzisha serikali huru yenye nguvu katika maeneo yaliyokaliwa ya Wapalestina kulingana na uhalali na maazimio ya kimataifa.”

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu