Jumatatu, 30 Jumada al-thani 1441 | 2020/02/24
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Facebook Kufunga Kidhuluma Ukurasa wa Kitengo cha Wanawake Katika Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir: Women & Shariah, Kunalenga Kunyamazisha Sauti za Wanawake Waislamu Wanaolingania Uislamu

Mnamo Ijumaa 29 Novemba, Facebook ilifunga kidhuluma ukurasa rasmi wa Kiingereza wa Kitengo cha Wanawake Katika Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir: Women & Shariah, pasina na maelezo yoyote kuhusiana na hatua yao hiyo. Akaunti ilikuwa na wanaoipenda na wanaoifuata zaidi ya 40,000 huku baadhi ya post zake zikipata kufikia zaidi ya watu nusu milioni.

Soma zaidi...

Ni Serikali ya Uturuki ndiyo Inayoandaa Msingi wa Mashambulizi ya Kiubaguzi wa Rangi dhidi ya Wanawake na Watoto

Jioni ya 5 Oktoba 2019 mwanamume anayeitwa Nadir Kızılbulut alimpiga kinyama mtoto wa miaka 5 Msyria kwa msukumo wa kiubaguzi wa rangi. Pia aliwashambulia mama wa mtoto huyo na dadake wa miaka 15 kimwili na maneno na kumpiga baba yao usoni na kushambulia nyumba yao na kuvunja madirisha.

Soma zaidi...

Damu ya Wanawake na Watoto wa Afghanistan ni Duni kwa Marekani na Utawala Kibaraka wa Afghan

Usiku wa Jumapili, 22 Septemba, mashambulizi ya angani na ardhini yalitekelezwa na majeshi ya Afghan na Marekani yakilenga kile kilichoelezewa kuwa ni maficho ya Taliban katika wilaya ya Musa Qala katika mkoa wa Helmand, yakaua raia 40 na kuwajeruhi taribani watu 18 wengine ambao walikuwa wanahudhuria sherehe ya harusi katika jengo mkabala. Kwa mujibu wa Abdul Majid Akhundzada, mwanachama wa baraza la mkoa wa Helmand, wengi wa waliouliwa walikuwa wanawake na watoto. 

Soma zaidi...

Ulazimishaji wa Wanawake wa Uyghur Kutobeba Mimba katika Kambi za Uchina: Mkono Mwengine wa Utawala huo Katika Kampeni Yake ya Mauaji dhidi ya Waislamu wa Turkistan Mashariki

Katika wiki za hivi karibuni, vyombo vikuu vya habari kama vile Gazeti la The Independent la UK vimechapishwa ripoti kutoka kwa wanawake wa Uyghur ambao walikuwa wametiwa korokoroni ndani ya kambi za mjumuiko ndani ya Turkistan Mashariki, kuhusu wanawake Waislamu wa Uyghur kwamba wamelazimishwa kutobeba mimba wakati walipokuwa kizuizini.

Soma zaidi...

Sera za India ndani ya Kashmir Zinalenga Kuwateka Nyara Watoto Waislamu

Mnamo 15 Agosti 2019, gazeti la UK, The Telegraph liliripoti kuhusu utekaji nyara unaotamausha wa watoto wa Kashmir kufuatia jaribio la India kuliteka eneo ililolivamia la Kashmir. Timu ya Wanachama wa Mashirika ya Kijamii ikijumuisha Jean Dreze na Maimoona Mollah, yameweka orodha ya watoto ambao wanasema kuwa walitiwa korokoroni na kupigwa na Vyombo vya Usalama vya India wakati wa uvamizi wa kigaidi unaoendelea wa Kashmir juu ya Waislamu katika eneo hilo.

Soma zaidi...

Walitangaza Vita dhidi ya Watoto ili kupitisha Mikataba ya Aibu na Udhalilishaji!

Kwa mujibu wa ripoti ya UN ya hivi karibuni zaidi ya raia 350 wameuliwa ndani ya Idlib na watu 330,000 wamelazimishwa kukimbia nyumba zao tangu kuzidi kwa mapigano kuanzia 29 Aprili. Lakini takwimu hizi zimebadilishwa kwa mujibu wa afisaa mkuu wa UN. Aliongezea kwamba vifo 103 vilitokea ambavyo vilijumuisha watoto 26 kwa mashambulizi ya angani kwa hospitali, shule, soko na viokaji mikate ndani ya kaskazini magharibi ya Syria zaidi ya siku 10 zilizopita na alikadiria zaidi ya watu 400,000 wamefurushwa…

Soma zaidi...

Marufuku ya Niqab huko Uholanzi imepelekea Stara kuwa ni Uhalifu, Inathibitisha kwa Mara Nyingine Namna Ubaguzi wa Dini Umekita Mizizi ndani ya Nidhamu ya Kisekula ya Kihuria

Mnamo 1 Agosti, marufuku ya Niqab yalianza rasmi ndani ya Uholanzi, yakiwazuia wanawake Waislamu kutovaa kizuizi nyusoni mwao wanapokuwa katika taasisi za umma, ikijumuisha shule, hospitali na afisi za serikali pamoja na mabasi na treni. Mamlaka zinatakiwa kuwalazimisha wanawake waliovaa Niqab kuzivua wanapotaka kuingia katika jengo la umma. Lau watakataa hawatoruhusiwa kuingia napia wanaweza kupigwa faini ya takribani Uro 150. 

Soma zaidi...

Marufuku ya Niqab huko Uholanzi imepelekea Stara kuwa ni Uhalifu, Inathibitisha kwa Mara Nyingine Namna Ubaguzi wa Dini Umekita Mizizi ndani ya Nidhamu ya Kisekula ya Kihuria

Mnamo 1 Agosti, marufuku ya Niqab yalianza rasmi ndani ya Uholanzi, yakiwazuia wanawake Waislamu kutovaa kizuizi nyusoni mwao wanapokuwa katika taasisi za umma, ikijumuisha shule, hospitali na afisi za serikali pamoja na mabasi na treni. Mamlaka zinatakiwa kuwalazimisha wanawake waliovaa Niqab kuzivua wanapotaka kuingia katika jengo la umma. Lau watakataa hawatoruhusiwa kuingia napia wanaweza kupigwa faini ya takribani Uro 150.

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu