Jumanne, 09 Ramadan 1445 | 2024/03/19
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Mashambulizi ndani kabisa ya Lebanon! Yako wapi Mamlaka ya Kisiasa na Vyombo vyake kuhusiana na Stahiki zake?! Je, Uvumilivu wa Kimkakati wa Mhimili Bado haukwisha?!

Mashambulizi ya mabomu ya Lebanon ya wale waliokasirikiwa - Mayahudi - yamekuwa ya mara kwa mara kila siku, na hata kuathiri miji mikubwa kama Sidoni, Tyre, na Nabatieh, baada ya kufungika kwenye vijiji vya mpakani, kuua na kujeruhi watu walio salama katika maeneo hayo na mijini.

Soma zaidi...

Mamlaka ya Dayton mjini Ramallah na Mamlaka ya Lebanon Zinakwenda Ndani ya Ajenda ya Marekani ili Kuondoa na Kumaliza faili ya Kambi!

Tangu mwanzo wa matukio katika Kambi ya Ain al-Hilweh mwishoni mwa Julai 2023, Hizb ut Tahrir/Wilayah ya Lebanon alitoa toleo mnamo 31/7/2023 lenye kichwa: Hali ya Kikanda, uchoraji mipaka ya ardhi! Kuweka matayarisho katika kambi ya Ain al-Hilweh kwa ajili ya vita na operesheni za usalama” Miongoni mwa yale yaliyotajwa ndani yake ni kwamba "uamuzi ulifanywa ili kujumuisha mambo yaliyotawanyika ya harakati ya Fatah ndani ya kambi na kuregesha udhibiti kwa Mamlaka ya Dayton, ambayo inashikilia uratibu wa usalama "takatifu ", juu ya kambi.

Soma zaidi...

Hali ya Kikanda, uchoraji mipaka ya ardhi! Kuweka matayarisho katika kambi ya Ain al-Hilweh kwa ajili ya vita na operesheni za usalama

Majed Faraj, mkuu wa Huduma Kuu ya Ujasusi katika Mamlaka ya Palestina, aliwasili mnamo 24/7/2023 na kukutana na uongozi wa ngazi ya juu nchini Lebanon. Iliripotiwa kwamba aliomba mkutano na Ziyad Nahaleh, Katibu Mkuu wa harakati ya Jihad ya Kiislamu, ambaye alikataa mkutano huo na kuishia kwa mazungumzo ya simu.

Soma zaidi...

“Makubaliano” Yaliyo Kuwa Katika Uchungu wa Uzazi Sasa Yamezaa Serikali ya Diab! Mawaziri Kutoka Tabaka la Kisiasa Waliingizwa Kupitia Kila Mlango!

Kwa takribani siku mia moja, watu wanaandamana mabarabarani wakitaka kuporomoka kwa nidhamu fisidifu na kuondolewa kwa tabaka fisadi la kisiasa, kwa kutumia kauli mbiu "Wote Humaanisha Wote", msemo wa umma wa kupinga chama chochote kinacho wakilisha tabaka fisadi la kisiasa nchini humu.  

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu