Jumamosi, 09 Safar 1442 | 2020/09/26
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Urusi Yaendeleza Vita vyake dhidi ya Uislamu

Kwa miaka 5 iliyopita tangu Urusi ilipoichukua Crimea ni hukumu ya tano kwa kiitwacho “Kesi za Hizb-ut-Tahrir” ambapo Waislamu wanatuhumiwa na harakati za kigaidi. Hizb ut Tahrir ni chama cha kimataifa cha kisiasa cha Kiislamu kinacho lenga kusimamisha tena maisha ya Kiislamu katika nchi za Waislamu kupitia mapambano ya kifikra na kisiasa. Sifa ya Hizb ya kutotumia vurugu inajulikanwa vyema kupitia ulimwengu mzima na imethibitishwa na miaka 60 ya utendajikazi wake katika nchi zaidi ya 40. Majaribio yoyote ya kuituhumu Hizb kwa matendo ya vurugu hayana msingi wowote.

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu