Jumanne, 20 Muharram 1447 | 2025/07/15
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Uingereza ni Nchi ya Ajabu ambapo Watu Mabubu Huamini Mambo Yasiyo na Maana na Wenye akili Hutishiwa ili Kukubaliana nayo

Kichwa cha habari cha gazeti la ‘The Guardian’ mnamo tarehe 16 Februari 2024, kilichoandikwa na Gaby Hinsliff, kilisema: "Jifunze hili kutokana na mzozo wa Rochdale: jamii inakabiliwa na hatari pindi watu werevu wanapoamini mambo yasiyo na maana."

Soma zaidi...

Kyrgyzstan iko kwenye Njia ya Udikteta

Serikali nchini Kyrgyzstan iliamua hatimaye kukomesha uandishi huru wa habari. Kwa hivyo, mnamo Januari 15, Kamati ya Serikali ya maafisa wa Usalama wa Kitaifa ilifanya upekuzi katika afisi ya wavuti wa mtandao wa 24.kg, ikichukua vifaa na kuwaweka kizuizini mkurugenzi mkuu Asel Otorbaeva, pamoja na wahariri wakuu Makhinur Niyazova na Anton Lymar.

Soma zaidi...

Kinachoitwa Ubwana wa Dola za Kitaifa na Ushirikiano wa Dola Vibaraka na Kafiri Mkoloni Dhidi ya Watu wao wenyewe

Takriban watu 40 wameripotiwa kuuawa katika ulipizaji kisasi wa Marekani, ambao pia ulihusisha utumiaji wa mabomu ya kimkakati aina ya B-1B. Iraq kwa upande mwingine ilitangaza kuwa watu 16 wakiwemo raia wameuawa katika mashambulizi ya Marekani katika saa zilizopita.

Soma zaidi...

‘Hatua ya Dubai’ Inafichua Uchafu wa Demokrasia - Ni kwa Mfumo wa Kiislamu pekee ndipo Utulivu wa Kweli unaweza Kufikiwa

Malaysia: Tangu kuibuka uvumi kwamba kutakuwa na mabadiliko ya serikali kupitia kile kinachoitwa ‘Hatua ya Dubai’, tayari kumekuwa na mamia ya ripoti za polisi kuhusu suala hilo kutoka pande mbalimbali nchini kote. Kulingana na polisi, shughuli zote zinazohusiana na ‘Hatua ya Dubai’ zinaweza kuhitimishwa kama shughuli zinazoweza kuvuruga utulivu wa umma na kusababisha wasiwasi. 'Dubai Step' ni nini hasa?

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu