Ijumaa, 17 Shawwal 1445 | 2024/04/26
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Je, kuna Matumaini kwa Misri chini ya Mfumo wa Kirasilimali na Sheria zake?! Je, Migogoro ya Kiuchumi ya Misri Itakwisha Lini na ni nani mwenye Masuluhisho Sahihi?!

Hakuna sauti iliyokubwa kubwa zaidi kuliko sauti ya misukosuko ya kiuchumi inayoikumba Misri na watu wake, ikiteketeza nguvu na juhudi zao, na kupoteza pamoja nao akiba zao. Mikopo na mikopo mipya ya kulipa maregesho ya mkopo, ikifuatiwa na sera na maamuzi na kufuja mabaki ya utajiri na mali ya Misri.

Soma zaidi...

Hotuba ya Msemaji Rasmi wa Hizb ut Tahrir katika Wilayah ya Sudan katika Kongamano la Omdurman Al Thawra Al Hara 42 "Khilafah Pekee ndio Dola ya Waislamu"

Sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu aliyemtuma Mtume wake kwa uongofu na Dini ya haki ili kuifanya ishinde Dini zote ijapokuwa washirikina watachukia, na rehma na amani zimshukie mjumbe huyo kama rehema kwa walimwengu wote, aliyesimamisha dola ya kwanza ya Uislamu, ukitabikisha hukmu za Mola Mlezi wa walimwengu wote, rehma na amani za Mola wangu Mlezi ziwe juu yake, na jamaa zake na maswahaba wake watukufu, waliounda jengo la Khilafah Rashida, kwa njia ya Utume, na wanaowafuata kwa wema mpaka Siku ya Kiyama.

Soma zaidi...

Migawanyiko ya Mipaka Inayopuuza Mafungamano ya Kina ya Kitamaduni na Kihistoria, Inaweza Tu Kuchochea Taharuki ya Mipaka Suluhu ya Kudumu ni Kuwaunganisha Waislamu, Waliogawanywa kwa Mipaka, Chini ya Uongozi Mmoja wa Kisiasa wa Kiislamu, Khilafah

Mnamo tarehe 19 Disemba 2022, Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani, Ned Price, alisema katika taarifa, "Tuko tayari kusaidia, iwe kwa hali hii inayojitokeza au kwa upana zaidi."

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu