Jumapili, 14 Dhu al-Qi'dah 1441 | 2020/07/05
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Kongamano baina ya Afrika na Urusi: Viongozi wa Kiafrika Wanaiuza Afrika kwa Madalali wa Kirasilimali

Viongozi wa Serikali zaidi ya 40 wa nchi za Afrika walihudhuria Kongamano la kwanza baina ya Afrika na Urusi katika mji wa Sochi. Kongamano hilo la siku mbili 24 na 25 Oktoba 2019 liliandaliwa kwa pamoja na Rais Vladmin Putin na mwenzake rais wa Misri Abdel Fattah el-Sisi uliangazia zaidi masuala ya kibiashara baina ya Urusi na Afrika likiwemo pia suala la usalama. Kwenye mahojiano ya awali na shirika la habari la serikali la TASS siku ya Jumatatu, 21 Oktoba 2019, rais Putin alisema: “Mkutano huu wa siku mbili ni hatua ya kufufua tena mahusiano yake ya vita baridi ampapo mataifa ya Kiafrika yalijiunga na utawala wa Moscow kwenye vita vya kimfumo na Marekani hii ni kabla ya kusambaratika kwa muungano wa kisovieti ni tukio la kipekee na hatua msingi”

Soma zaidi...

Kitengo cha Wanawake cha Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir kimezindua Kampeni na Kongamano la Kiulimwengu: Changamoto za Familia na Suluhisho za Kiislamu

Kitengo cha Wanawake katika Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir kilizindua kampeni ya kiulimwengu kwa anwani, “Familia: Changamoto na Suluhisho la Kiislamu” ambayo itamalizikia katika kongamano la kimataifa la wanawake mwishoni mwa Oktoba litakalo hudhuriwa na wazungumzaji kutoka pembe zote za dunia.

Soma zaidi...

Waislamu Warohingya wanaingia Mwaka Mpya wakiwa na hofu kwa kukosekana Khilafah

BBC iliripoti kuhusiana na kupambamoto kwa janga la Rohingya huku idadi ya wanaotarajiwa kushtakiwa dhidi ya serikali ya Myanmar ikiwasilishwa katika mahakama za kimataifa na Venezuela na Gambia. Habari iliyotoka mnamo 19 Novemba 2019 inaelezea hadithi kwamba kijana wa miaka 11 anayeitwa Omar anayeishi pasina familia yoyote katika kambi ya wakimbizi ya Cox Bazaar ndani ya Bangladesh.

Soma zaidi...
Jiunge kwa hii RSS feed

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu