Jumanne, 25 Rajab 1442 | 2021/03/09
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Afisi ya Habari
Wilayah Jordan

H.  3 Jumada II 1442 Na: 1442 / 08
M.  Jumamosi, 16 Januari 2021

 Taarifa kwa Vyombo vya Habari

Kukamatwa kwa Mmoja wa Wanachama wa Hizb ut Tahrir
(Imetafsiriwa)

Siku tatu zilizopita, vikosi vya usalama vya serikali nchini Jordan vilimkamata Ndugu Muhammad Al-Gharabli, mwanachama wa Hizb ut Tahrir, kazini kwake.

Kuendelea kwa serikali ya Jordan katika njia yake ya ukandamizaji dhidi ya wabebaji wa Da'wah kunaonyesha dhamira yake ya kuupiga vita Uislamu na kuuondoa kabisa maishani.

Hizb ut Tahrir ni chama cha kisiasa, ambacho mfumo wake ni Uislamu. Kazi yake ni ya kisiasa na ya kifikra kwa ajili ya kurudisha dola ya Khilafah ili kutabikisha sheria ya Mwenyezi Mungu; hiyo iliondolewa maishani  karne moja iliyopita. Chama hiki kimejitolea na kitaendelea na kazi yake ya kusimamisha faradhi hii kutoka kwa Mwenyezi Mungu juu ya Ummah, na hakitasimama kwa sababu ya vizuizi vikali vya tawala wakilishi kwa mkoloni kafiri.

Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir
katika Wilayah Jordan

Hizb-ut Tahrir: Afisi ya Habari
Wilayah Jordan
Address & Website
Tel: 
http://www.hizb-jordan.org/
E-Mail: info@hizb-jordan.org

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu