Hizb ut Tahrir / Ardhi Iliyobarikiwa: Wito kwa Majeshi kutoka Katikati mwa Msikiti wa Al-Aqsa Kuihami Al-Aqsa na Matukufu ya Mtume (saw)
- Imepeperushwa katika Palestina
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Hizb ut Tahrir katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) iliandaa kisimamo cha halaiki katikati mwa Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa, ambapo kupitia kwacho ilitoa wito kwa majeshi ya Umma wa Kiislamu kujibu hujma ya Mayahudi dhidi ya Msikiti wa Al-Aqsa uliobarikiwa na kuchafuliwa kwake, na kupandisha bendera ya umbile lao liliopotoka katika viwanja vyake na matusi yao kwa Mtume (saw).