Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki: Maandamano ya Usiku ya Kupinga Mauaji ya Kinyama huko Rafah!
- Imepeperushwa katika Uturuki
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Uturuki iliandaa maandamano makubwa ya usiku katika maeneo 25 ya Uturuki kupinga mauaji ya kinyama haswa mjini Rafah.