Jumatano, 15 Sha'aban 1441 | 2020/04/08
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Kitengo cha Wanawake Katika Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir:
Kalenda ya Matukio ya Historia ya Kashmir na Uvamizi Wake Kutoka Kwa India

Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir inafuraha kuwasilisha kwa wafuasi wake na wanaozuru tovuti zake msururu wa picha kwa kichwa “Kalenda ya Matukio ya Historia ya Kashmir na Uvamizi Wake Kutoka Kwa India,” zilizoandaliwa na Kitengo cha Wanawake cha Hizb ut Tahrir Katika Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir na kushiriki kwao katika kampeni ya kiulimwengu iliyozinduliwa na Afisi Kuu ya Habari kwa kichwa, “Hakuna Suluhisho Kashmir Isipokuwa Kuandaa Jeshi la Waislamu Kuikomboa.”

Ijumaa, 7 Muharram 1441 H – Septemba 6, 2019

Imebadilishwa mara ya mwisho mnamoJumapili, 16 Februari 2020 13:33

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu