Ijumaa, 19 Ramadan 1445 | 2024/03/29
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Wilayah Pakistan: Kashmir Iliyokaliwa Itakombolewa tu na Maafisa wa Jeshi Wanaoitikia Amri ya Mwenyezi Mungu (swt) ya Kupigana Pekee

(Imetafsiriwa)

Imekuwa miaka miwili tangu Raja Dahir wa zama zetu, Modi, kuiunganisha kwa nguvu Kashmir Iliyokaliwa mnamo 5 Agosti 2019.

Enyi Waislamu wa Pakistan!

Ni mtindo wa kihadaifu wa makafiri kuwapa ofa ya mazungumzo Waislamu ili kuwasababishia hasara na kuvua maridhiano kutoka kwao, wakati wanajua kwamba Umma wa Kiislamu unaweza kuchukua haki yake kamili kwenye uwanja wa vita, bila ya maridhiano yoyote au hasara.

Kashmir Iliyokaliwa itakombolewa pekee kulingana na amri ya Mwenyezi Mungu (swt), Al-Aleem, Al-Khabeer.

Mwenyezi Mungu (swt) ameamrisha,

[وَاقْتُلُوهُمْ حَيْثُ ثَقِفْتُمُوهُمْ وَأَخْرِجُوهُمْ مِنْ حَيْثُ أَخْرَجُوكُمْ]

“Na wauweni popote mwakutapo, na muwatoe popote walipo kutoeni.” [Surah al-Baqarah 2:191].

Enyi Waislamu wa Jeshi la Pakistan!

Miaka miwili ya kuzuiwa na udhalilifu imepita, msiache kuweko na wa tatu.

Kashmir Iliyokaliwa itakombolewa na wale wanaotembea kwenye njia ya Jenerali Salahudin, ambaye aliwaunganisha Waislamu chini ya utawala wa Kiislamu, akiwakusanya pambizoni mwa Khalifa wa Waislamu, ili kuwaimarisha kabla ya kupigana.

Kashmir iliyokaliwa itakombolewa na wale miongoni mwenu wanaotembea kwenye njia ya Sultan Aurangzeb Alamgir, ambaye kwa ujasiri aliikomboa Chittagong kutoka kwa washirikina wa Kibhudi, na kusababisha kuporomoka kwa himaya yao ya miaka mia tano.

Kwa hivyo imarisheni safu za Waislamu kwa kutoa Nussrah yenu kwa ajili ya Khilafah kwa Njia ya Utume, kabla ya kupigana kwenu katika Njia ya Mola wenu (swt).

Alhamisi, 11 Muharram 1443 H - 19 Agosti 2021 M

#پاک_فوج_حرکت_میں_آؤ_کشمیر_کو_آزاد_کراؤ
#Pakistan_Army_Mobilize_To_Liberate_Kashmir

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu