Jumatatu, 04 Safar 1442 | 2020/09/21
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Hizb utTahrir / Wilaya Pakistan:

Hamasikeni Kuikomboa Kashmir!

Wacha Silaha Zetu za Nyuklia ziwe Nyenzo za Kulinda Bara yetu wakati Simba wa vikosi vya Majeshi yetu Wakiikomboa Kashmir iliyo kaliwa

Badala ya kuamrisha Jeshi lenye zaidi ya askari 600,000, ambalo linatamani kufa shahidi na limesheheni silaha za nyuklia, serikali imejidunisha hadhi yake kufikia hadi kuwa shirika la haki za binadamu, mara kwa mara ikituma tahadhari kwa Umoja wa Mataifa.

Je! Ni nini Umoja wa Mataifa, ambao serikali ya PTI imeweka matumaini na imani yake? Hakika, kamwe haitaikomboa Kashmir kutoka kwa Modi.

Enyi Simba Majeshi ya Pakistan!

Damu tukufu ya Ummah inamwagwa furifuri, kwa kiwango ambacho hakijawahi kushuhudiwa kabla kwa mikono ya makafiri.

Hamasikeni!

Kwa kuwakilisha uzoefu wenu wa kitaasisi kutoka katika zama za ukombozi wa Afghanistan iliyo kuwa imekaliwa na Urusi, ambayo ilikuwa ni adui mwenye nguvu maradufu kuliko majeshi ya India yaliyo gawanyika vipande vipande na kukosa hamasa.

Kumbukeni werevu wenu ambao ulionekana mnamo Februari 2019, ambao uliyaweka majeshi ya india mahali pake. Kateni minyororo yenu na muhamasike. Hakika kufadhaika kwenu kunaweza kupozwa tu na risasi za kwanza za kikosi cha kwanza, zitakazo rushwa ili kuikomboa Kashmir chini ya bendera tukufu ya Jihad, njiani kuelekea vita vya kuukomboa Msikiti wa Al Aqsa.

Ewe Kizazi cha Khalid bin Walid (ra), Salahudin, Muhammad bin Qasim na Tipu Sultan!

Chukua hatua sasa kuanzisha uhamasishaji wa vikosi vikubwa vya majeshi, ambavyo havipaswi kusimama mpaka Takbeer za ushindi zitakapo pazwa katika Srinagar, na kuitikisa New Delhi.

Ee Jeshi la Pakistan!

Hamasikeni!

Ummah wote wa Kiislamu unatamani ushindi muhimu mno juu ya maadui wake na heshima hii ya kipekee inangojea Takbeer yenu iliyo barikiwa.

Mwenyezi Mungu (swt) anasema,

(إِنْ يَنْصُرْكُمْ اللَّهُ فَلاَ غَالِبَ لَكُمْ وَإِنْ يَخْذُلْكُمْ فَمَنْ ذَا الَّذِي يَنْصُرُكُمْ مِنْ بَعْدِهِ وَعَلَى اللَّهِ فَلْيَتَوَكَّلْ الْمُؤْمِنُونَ)

"Akikunusuruni Mwenyezi Mungu hapana wa kukushindeni, na akikutupeni ni nani, basi, baada yake Yeye atakaye kunusuruni? Na Waumini wamtegemee Mwenyezi Mungu tu." [Aali-Imran 3:160]

Jumanne, 11 Shawwal 1441 H – 02 Juni 2020 M

#PakArmyLiberateKashmir

Imebadilishwa mara ya mwisho mnamoJumamosi, 13 Juni 2020 07:00

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu