Alhamisi, 18 Dhu al-Qi'dah 1441 | 2020/07/09
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Hizb ut Tahrir / Wilaya Sudan: Msururu wa Maandamano ya Kimya kimya Kupinga Kufungwa Misikiti

Hizb ut Tahrir katika Wilaya Sudan iliandaa msururu wa maandamano ya kimya kimya katika jiji la Al-Ubayyid mnamo Jumapili Juni 7, 2020. Waandamanaji walibeba mabango yakiwa na kauli mbiu kama vile:

“Ni zipi sababu za kufunga Misikiti ya Mwenyezi Mungu ambapo tunaswali na kuinua mikono yetu kuomba janga hili la maambukizi limalizike?!”

“Kuna tofauti gani baina ya mikusanyiko katika masoko na mabenki na kuzuiwa ile ya misikitini?!”

Ujumbe wa Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilaya Sudan

Imebadilishwa mara ya mwisho mnamoJumamosi, 13 Juni 2020 06:15

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu