Jumapili, 14 Dhu al-Qi'dah 1441 | 2020/07/05
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir Imezindua tena Gazeti la Al-Raya

Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir inafuraha kuwatangazia wafuasi na wageni wake katika tovuti za Afisi Kuu ya Habari kuanza tena uchapishaji wa Al-Raya, ambalo lilikuwa lichapishwa na Hizb ut Tahrir mnamo 1954. Lilikuwa likiwatetemesha watawala wakandamizaji katika usingizi wao na kupanga njama ya kupiga marufuku uchapishaji wake wa kila wiki. Sasa kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, Hizb ut Tahrir imeanza tena kuchapisha Gazeti la Al-Raya kwa mara nyingine.

Inshallah tutakuwa tunachapisha matoleo yajayo katika ukurasa huu. Fuatilia!

Januari 2020:

 Na Tarehe Pakua Tizama
 271  Jumatano, 4 Jumada al-Thani 1441 H - 29 Januari 2020 M  Bofya Hapa Bofya Hapa 
 270  Jumatano, 27 Jumada al-Awwal 1441 H - 22 Januari 2020 M  Bofya Hapa  Bofya Hapa
 269   Jumatano, 20 Jumada al-Awwal 1441 H - 15 Januari 2020 M  Bofya Hapa  Bofya Hapa
 268   Jumatano, 13 Jumada al-Awwal 1441 H - 8 Januari 2020 M  Bofya Hapa  Bofya Hapa
 267  Jumatano, 06 Jumada al-Awwal 1441 H - 1 Januari 2020 M  Bofya Hapa Bofya Hapa
Imebadilishwa mara ya mwisho mnamoJumamosi, 18 Aprili 2020 15:53

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu