Kwa Maongezi Matamu, Yenye Sumu kuhusu Mustakabali wa Lebanon na…
Jumanne, 13 Muharram 1447 - 08 Julai 2025
Mnamo Julai 7, 2025, katika mkutano na waandishi wa habari katika Kasri la Rais, Mjumbe wa Marekani Tom Barrack alitoa taarifa akisema kwamba "Lebanon na kanda hii wana fursa nzuri ambayo lazima ichukuliwe," kwamba "wakati umefika wa kubadilisha kanda hii," na kwamba "kila mtu amechoshwa na kile kilichotokea," kama alivyoweka. Pia alisema kwamba "usalama utavutia uwekezaji kwa Lebanon," kwamba "Rais wa Marekani alithibitisha dhamira yake ya kuchangia kujenga amani na ustawi nchini Lebanon," na kwamba "fursa inapatikana kwa Walebanoni kuifanya nchi yao kuwa Lulu ya Mashariki kwa mara nyingine tena."
Enyi Waislamu: Yaelekezeni macho yenu kwenye makasri ya watawala wenu,…
Macho ya Waislamu kwa jumla, na waandishi wa habari, wachambuzi, waangalizi, na wale wanaohusika hasa,…
Ziara za Kamati Kuu ya Mawasiliano ya Hizb ut Tahrir…
Ujumbe kutoka Kamati Kuu ya Mawasiliano ya Hizb ut Tahrir/Wilayah Lebanon, unaojumuisha Dkt Muhammad Jaber…
Jarida la Al-Waie: Vichwa Vikuu vya Habari vya Toleo (467)
Jarida la Al-Waie: Vichwa Vikuu vya Habari vya Toleo (467)
Njama Endelevu, Iliyoimarishwa ya Kimataifa ya Kuzuia Mapinduzi ya ash-Sham…
Mwenyezi Mungu (swt) alipowapa watu wa ash-Sham baraka za kumwangusha dhalimu mhalifu wa Syria, asubuhi…
Je! Uongozi wa Pakistan Ulipotezaje Hadhi Yake Mbele ya India…
Uongozi wa kisiasa na kijeshi wa Pakistan ulipoteza ushindi uliopatikana na mwewe wa Jeshi lake…