Ijumaa, 17 Rajab 1446 | 2025/01/17
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Kitengo cha Wanawake katika Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir kimezindua Kampeni ya Kiulimwengu na Warsha za Kimataifa za Wanawake, “Beijing+25: Je, Barakoa ya Usawa wa Kijinsia Imeanguka?”

Mwaka 2020 unaadhimisha miaka 25 ya Azimio la Beijing na Mpango wa Utendaji (BPfA), ni waraka mpana ambao ulikuwa ni matokeo ya Kongamano la Kiulimwengu la nne la UN kuhusiana na Wanawake lililofanyika mnamo Septemba 1995, huko Beijing, Uchina.

Soma zaidi...

DVD Zinazo Angazia: “Ukombozi wa Konstantinopoli Bishara Njema Ikatimia …Inafuatiwa na Bishara Njema Nyingine!” 1441 H - 2020 M

Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir inafuraha kuwapatia wafuasi wake na wote wanao zuru tovuti za Afisi Kuu ya Habari DVD mpya kabisa yenye kichwa: “Ukombozi wa Konstantinopoli Bishara Njema Ikatimia …Inafuatiwa na Bishara Njema Nyingine!”

Soma zaidi...

Kampeni ya Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir: #WaacheniHuruDadaZetu #MwacheniHuruDadaRomana #MwacheniHuruDktRoshan

Watawala waovu wa Pakistan wanaendelea kuwalazimisha vibaraka wa Amerika nchini Pakistan na kuwalazimisha juu ya shingo za Waislamu, hususan wanachama na wafuasi wa Hizb ut Tahrir, sasa imechukua hatua kakamavu zaidi katika mbinu zao ovu kuteka nyara wanawake!

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu