Hizb ut Tahrir / Uingereza: Saudi - Yanunua Kabumbu, Yauza Uislamu?
- Imepeperushwa katika Uingereza
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Hizb ut Tahrir / Uingereza: Saudi - Yanunua Kabumbu, Yauza Uislamu?
Hizb ut Tahrir / Uingereza: Saudi - Yanunua Kabumbu, Yauza Uislamu?
Hizb ut Tahrir Uingereza iliandaa kongamano la Khilafah la kila mwaka kwa kichwa: “Je, Kweli Unamfahamu Mtume Muhammad, Rehma na Amani ziwe Juu Yake?”
Je, kuna umuhimu gani wa uchaguzi wa rais nchini Uturuki kwa Waislamu ndani na nje ya nchi hiyo? Na ni matokeo gani yanayowezekana kutokea kufuatia uchaguzi wa Erdoğan au Kılıçdaroğlu?
Tangazo la dharura la Hizb ut Tahrir/Uingereza kuhusu shambulizi la kikatili la kinyama lililotekelezwa na umbile nyakuzi la Kiyahudi kwa waumini mu'takifina katika Msikiti uliobarikiwa wa Al Aqsa.
Waingereza walidai kuwa mataifa mawili yaliishi nchini India, Waislamu na Mabaniani. Walidai kwamba hawakuweza kuishi kama taifa moja ndani ya dola moja. Kujibu hili, wazo la Pakistan liliibuka ili kuigawanya India katika dola mbili.
Kumtukana Mtume (ﷺ) kamwe hakuwezi kuwa na mjadala kwa Waislamu kote duniani na “Uhuru wa Kuzungumza” si lolote ila ni kwa manufaa ya kisiasa tu.
Sera za Uzayuni na Hindutva zinazoendeshwa na chuki dhidi ya Umma wa Kiislamu zinaendelea bila kusitishwa huku wale wanaojiita walinda amani wa dunia wakiwa ni washirika wao wa kimya kimya.
Uingereza inashuhudia kupanda kwa kasi kwa gharama ya bidhaa za kila siku, na kusababisha ugumu mkubwa zaidi kwa maskini na wanaoishi katika mazingira magumu.
Wanachama wa Hizb ut Tahrir/ Uingereza walishiriki katika kisimamo cha kuwanusuru Waislamu wa Uyghur mbele ya Ubalozi wa China jijini London, na Ubalozi mdogo wa China jijini Manchester, Jumamosi tarehe 13/11/2021.
Kwa kuzingatia hali ya wasiwasi katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) ya mashambulizi ya mara kwa mara yanayofanywa na umbile la Kiyahudi kwenye Msikiti wa Al-Aqsa uliobarikiwa na kuzingirwa kwake na bomu kwa miaka 15 katika Ukanda wa Gaza,