Jumanne, 17 Rajab 1444 | 2023/02/07
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Usaliti na Ufisadi wa Mamlaka ya Palestina ni Jinai Kubwa Dhidi ya Palestina na Watu wa Palestina!

Abbas bwege na genge lake, ambao wamemsaliti Mwenyezi Mungu (swt) na Mtume Wake, tangu kutiwa saini kwa Mkataba wa khiyana wa Oslo, na wamekuwa wakifanya kazi kwa utaratibu na uratibu pamoja na umbile la Kiyahudi, ili kuimaliza ari ya jihad kwa ajili ya Mwenyezi Mungu (swt) miongoni mwa watu wa Palestina ili kukomesha “mateso ya Mayahudi,” wanashirikiana dori kwa njia ovu.

Soma zaidi...

Uhalifu wa Umbile la Kiyahudi Hautakomeshwa kupitia Upatanishi, Mazungumzo, au Taasisi za Kimataifa Bali, kipitia Uhamasishaji wa Majeshi ya Kiislamu Kuharibu kile Walichokichukua kwa Uharibifi Kamili

Mwenyezi Mungu awarehemu mashahidi wetu, na Mwenyezi Mungu awaponye majeruhi wetu, Ina lilahi Wa Ina Ilaihi Raji’oon, La Hawla Wa La Quwata Ila Billah, Hasbuna Allah Wa Ni’ma Al-Wakeel.

Uvamizi wa umbile la Kiyahudi dhidi ya Umma wa Kiislamu bado unaendelea na unakua siku baada ya siku, ukiwa na uungaji mkono wa Marekani, uhalalishaji mahusiano wa Waarabu na uratibu wa usalama pamoja na Mamlaka ya khiyana ya Palestina (PA).

Soma zaidi...

Mamlaka ya Palestina kupitia Maamuzi Yake ya Kidhulma Yanatishia Amani ya Raia na Kutaka Kuangamiza Jamii na Kufukarisha Watu na Kuwatumbukiza katika Haramu

Tangu kuanzishwa kwake, Mamlaka ya Palestina (PA) imekuwa ikifanya kazi kwa uovu, hofu na vitisho ili kuwatiisha watu wa Palestina na kuwafanya kuwa windo rahisi kwa maadui zao. Mara hufinika uhalifu wake kwa sheria na mara nyingine hupuuza sheria.

Soma zaidi...

Hotuba ya Maandamano ya Hashem Gaza, Nyuma ya Matukio ya Al-Quds na Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa. Mashambulizi ya Kiyahudi dhidi ya Al-Aqsa Yayalazimu Majeshi ya Kiislamu Kutangaza Vita Kuling'oa Umbile Lao

Enyi Waislamu: Je, haujafika wakati kwenu kuzinyenyekesha nyoyo zenu kwa kumkumbuka Mwenyezi Mungu na yale yaliyoteremshwa kwa haki, na musonge katika kuinusuru Al-Aqsa, kabla ya kugawanya kwake kupitia wakati na nafasi kuwa kweli, kisha majuto hatamfaidi mtu?!

Soma zaidi...

Mamlaka ya Palestina Yadhihirisha Ukweli wa Msimamo Wake Kupitia Kukishambulia Kisimamo Kinacho Kataa Mkataba wa Trump

Mnamo Jumamosi asubuhi, 15 Februari 2020, Mamlaka ya Palestina (PA) na vyombo vyake vya usalama iliweka vizuizi katika lango la kuingilia mji wa Jenin, na kuchukua hatua kadhaa ili kuzuia kisimamo kilichoitishwa na Hizb ut Tahrir ili kupinga mkataba wa kikoloni wa Trump, …

Soma zaidi...

Ardhi ya Baraka ya Palestina Itakombolewa na Majeshi ya Mujahidina katika Njia ya Mwenyezi Mungu Sio kwa Baraza la Usalama na Kufedheheshwa na Wakoloni

Tumekusanyika leo kutamka kwa sauti kubwa na kwa uwazi mbele ya nyuso za wakandamizaji, madikteta na wakoloni, kwamba Palestina ni ardhi halisi ya Kiislamu, ni yetu na wala si ya yeyote mwingine, na kwamba Mpango wa Trump na mikakati yote ya usaliti na kujisalimisha na makubaliano ya kiudhalilishaji na ya aibu yapo chini ya miguu ya Waumini na Mujahidina kwa kutaka Radhi za Mwenyezi Mungu (swt).

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu