Hizb ut Tahrir / Wilayah Lebanon: Maoni ya kila Wiki: “Udanganyifu wa Mazungumzo ya Fedheha!”
- Imepeperushwa katika Lebanon
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Hizb ut Tahrir / Wilayah Lebanon: Maoni ya kila Wiki: “Udanganyifu wa Mazungumzo ya Fedheha!”
Hizb ut Tahrir / Wilayah Lebanon: Maoni ya kila Wiki: “Udanganyifu wa Mazungumzo ya Fedheha!”
Hizb ut Tahrir / Wilayah Lebanon yaandaa kongamano lake la kila mwaka kwa kichwa: “Kuhalalisha Mahusiano na Kujisalimisha au Ahadi ya Mwenyezi Mungu na Dola ya Kiislamu?!” Kwa mnasaba wa kumbukumbu uchungu ya miaka 105 ya kuvunjwa kwa dola ya Khilafah mnamo 28 Rajab 1342 H sawia na 3 Machi 1924 M
Hizb ut Tahrir/Wilayah Lebanon iliandaa maandamano ya Takbir, Tahlil, na Tahmid katika mji wa Tripoli, Syria, chini ya kauli mbiu "Tuko Pamoja nawe, ewe Gaza, tukipiga Takbir na Tahmid," kwa mnasaba wa ujio wa siku kumi za kwanza za Dhul-Hijjah 1446 H – 2025 M Idd al-Adha iliyobarikiwa. Matembezi hayo yalihitimishwa kwa dua ya kugusa moyo ya Sheikh Ahmed Al-Shamali.
Kisimamo cha Nusra Mbele ya Bunge la Lebanon kwa ajili ya Waislamu waliowekwa Kizuizini kilicho andaliwa na Hizb ut Tahrir / Wilayah Lebanon.
Mamia ya Mashababu (wanachama) na wafuasi wa Hizb ut Tahrir katika Wilayah ya Lebanon walishiriki katika kisimamo cha kulaani kilichoitishwa na Hizb, baada ya swala ya Ijumaa mnamo tarehe 25/4/2025, jijini Beirut, mbele ya Msikiti wa Mohammad Al-Amin. Kisimamo hicho kilikuwa na kichwa “Kutoka Beirut hadi Gaza, Kuweni Answari wa Mwenyezi Mungu, Enyi Majeshi ya Umma,” ambapo mabango yalinyanyuliwa yakitaka kuhamasishwa kwa majeshi, kupinduliwa kwa viti vya utawala vya madhalimu, na kunusuriwa kwa Gaza kupitia jihad na silaha.
zaidi ya miezi 18, yanayofanywa na umbile halifu la Kiyahudi dhidi ya Waislamu wasio na ulinzi katika Ukanda wa Gaza uliozingirwa, ambayo yamesababisha kuuawa shahidi, kujeruhiwa na kupotezwa kwa wanaume na wanawake wa Kiislamu zaidi ya elfu 170 hadi sasa, Hizb ut Tahrir/Wilayah Lebanon iliandaa maandamano ambayo yalizunguka mitaa ya Tripoli, Syria, chini ya kichwa: “Damu ya Gaza ni Damu Yetu, Enyi Majeshi ya Umma!”
Trump na Mfuasi wako Netanyahu: Macho Yako Yamepofushwa, umesahau hatima ya watangulizi wako miongoni mwa Warumi na Wafursi, pamoja na washirika wako duni, Mayahudi!
Kwa mnasaba wa kumbukumbu ya miaka 104 Hijria ya kuvunjwa dola ya Kiislamu (Khilafah) mnamo tarehe 28 Rajab Tukufu mwaka 1342 H sawa na 03/03/1924 M mikononi mwa wahalifu wa Kiarabu na Kituruki, na kwa kuzingatia mabadiliko na mishtuko mikali inayotokea ndani na karibu na ardhi ya Ash-Sham, Hizb ut Tahrir/Wilayah Lebanon inaandaa kongamano lenye kichwa: “Mabadiliko katika Ardhi ya Ash-Sham... Wasiwasi na Bishara!”
Hizb ut Tahrir / Wilayah Lebanon: Khutba ya Idd ul-Adha Al-Mubarak 1445 H – 2024 M
Hizb ut Tahrir / Wilayah Lebanon iliandaa matembezi ya Takbira, Tahlil na Tahmid 1445 H katika mji wa Tripoli Ash-Sham kwa mnasaba wa ujio wa siku kumi za mwanzo za Dhu al-Hijjah mwaka wa 1445 H – 2024 H na Idd ul-Adha Iliyobarikiwa.